Kwanini mchungaji Leoni Kimaro asibadili dini na kuwa muslam au Roman Catholic?

Kwanini mchungaji Leoni Kimaro asibadili dini na kuwa muslam au Roman Catholic?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Ukweli ni kwamba mtu mnafiki ni mbaya kuliko adui uliokwisha kumuweka mbali...mnafiki nanmchawi huwa wanafanana kitabia.

Moja kwa moja niende kwenye mada husika,ni hivi huyu mchungaji Kimaro wa kkt kijito nyama ni bora abadili dini na kuwa muslam au abadili dhehebu na kuwa Roman Catholic kwasababu zifuatazo:-

Kwanza kuna clips moja inasambaa sana mitandoni,akisikika akisema Roman Catholic ni dhehebu sahihi na la kweli kwa wa kristo,akasema haya madhehebu mengine tofauti na Roman Catholic ni madalali wa kuuza vitu..binafsi sijaele vitu gani tunauzwa...maana yake ni kwamba hata hao kkt ambao ndio waliomlea na kumkuza kiroho amewazalilisha kwa kuwaita madalali wa kuuza vitu.

Sasa kama kkt ni madalali anafanya nini kwa madalali kwa nini asiende kule kwenye dini ya kweli?

Cha ajabu na kushangaza baada ya kupewa likizo na kuagizwa kuripo makao makuu ameanza kufanya harakati na wachagga wenzake na wafuata upepo unapovuma kuwachafua viongozi, ni kimaanisha maskofu,ya kwamba wanamuonea na ni dalili yakuondolewa pale.

Sasa kama yeye sio anatetea maslahi anayoyapata pale hizi harakati za nini...si amshukuru Mungu na kwenda kule kwenye dhehebu sahihi..unang'ang'ania pahala ambapo apako sio sahihi kwasababu gani..basi itakuwa ni kwa maslahi fulani fulani ndio tafsiri yake.

Pili namshauri abadili dini nakuwa muslam kwasababu kuna clip amesikika akisema vijana wa kristo sio waaminifu ni wezi..na ndio maana anapenda kufanya kazi na vijana wa kislam kwasababu ni waaminifu...ha!ha!ni jambo la kushangaza sana.

Sasa inakuwaja anashirikiana, na ana imani inayofafana na wezi?si akawafuate waaminifu...cha ajabu wanaompa sadaka ni hao wahizi..waliomstiri mpaka akafika hapo ni hao waahizi ndio walio mfikisha.

Nashauri apangiwe kazi nyingine au afukuzwe kabisa,hili la mahubiri sio, anaroho ya kiburi fulani hivi..atashetani alijiinua mbinguni akafukuzwa.

Inamaana hawa watoto wadogo wakisikiliza haya mahubiri yake ya kuponda wakristo si wataona uslam ndio dini yenye watu waaminifu...?wewe
 
Tatizo ni ukweli, Kimaro kasema ukweli. Wakristu ni wanafiki kuliko Waislamu. Mf.unajifanya umeoa mke mmoja kulingana na imani yako, kumbe mtaani nyumba ndogo kibao. Swala la kiimani, wao wanaamini katika Mungo mmoja, Allan, Wakristu wanaamini Mungu mmoja ila aliyegawanyika nafsi tatu, hapo imekaaje?
 
Tatizo ni ukweli, Kimaro kasema ukweli. Wakristu ni wanafiki kuliko Waislamu. Mf.unajifanya umeoa mke mmoja kulingana na imani yako, kumbe mtaani nyumba ndogo kibao. Swala la kiimani, wao wanaamini katika Mungo mmoja, Allan, Wakristu wanaamini Mungu mmoja ila aliyegawanyika nafsi tatu, hapo imekaaje?
Angepeleka wazo lake kwenye meza husika..kwahiyo Catholic wanaruhusu ndoa zaidi ya moja ?
 
Anamanisha biblia imeshindwa kuwabadilisha Wakristo tutumie Quran kuwabadili vijana wa Kikristo. Kanisa lipo sahihi.
Dr kateleza shetani alimpitia,Ina maana na yeye ni tapeli maana nae usimama madhabauni,
 
Tatizo ni ukweli, Kimaro kasema ukweli. Wakristu ni wanafiki kuliko Waislamu. Mf.unajifanya umeoa mke mmoja kulingana na imani yako, kumbe mtaani nyumba ndogo kibao. Swala la kiimani, wao wanaamini katika Mungo mmoja, Allan, Wakristu wanaamini Mungu mmoja ila aliyegawanyika nafsi tatu, hapo imekaaje?
Atumie Quran kufundisha,kwako kashindwa kuitumia Biblia kuwabadilisha Wakristo. Pia aache Kazi ya uchungaji ni ya utapeli•
Aache unafiki huku akiponda kazi inayomlipa mshahara
 
Kauli yake Ina madhara kwenye Jamii, vijana wa Kikristo watanyapaliwa kwenye ajira kisha sio waaminifu hata Mchungaji wao keshasema.
Labda hata shetana anaweza kukaa madhabahuni tusiponkuwa makini..hii nini sasa?
 
Nd

We meku punguza pressure mnywa mbege wewe..pokea ukweli mnafiki wewe.
Vijana wa kikristo mna lugha chafu sana

😂😂

Anyway, Mimi Ni Muislam. Lakini aliyosema Kimaro yana usahihi ndani yake. Amezungumzia Waromani kuhusu ibada na ukusanyaji wa Sadaka. Kuna watu wanaanzisha makanisa ili wapate nufaika na hizo Sadaka za waumini. Kuna wachungaji ninaowafahamu ambao wengine wanajiita maaskofu,manabii, watumishi,wqchungaji,mitume n.k ambao hawana sifa za kufundisha dini au kuendesha ibada. Msingi wao mkubwa ni kipaji cha mdomoni! Wanauza maji na mafuta wanayoita ya baraka!
 
Kusema wachungaji ni matapeli hali nae akiwa Mchungaji tena anategemea uchungaji Ili kuendesha uchumi wake hapo kapotoka kabisa.
 
Back
Top Bottom