Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Watanganyika huu muungano umetubana sana, ila hatuna tu la kufanya.Na akili wametushikia haswaa, wengine sio wanasiasa lakini daa tunayaona mengi yanaumiza kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanganyika huu muungano umetubana sana, ila hatuna tu la kufanya.Na akili wametushikia haswaa, wengine sio wanasiasa lakini daa tunayaona mengi yanaumiza kweli.
Yupo sema ndo hivyo siku hizi hana hamu ya kujishirikisha tena na siasa uchwara.Bado yupo huyu sabodo
Wazanzibari masalia🤣unless awe Mtanganyika wa ujanja ujanja kama mzee Mwinyi na kijana wake.
Sababu Zanzibar Ina serikali yake...smzHizi ni akili za mazuzumagic, sijawahi kuwa mnafiki. Kwanini Watanganyika huko Zanzibar hatupewi hata uongozi wa soko?
Kile kifo chake ndiyo kimethibitisha bila shaka alikua ulimwengu huo,yaani ajali ya gari akatoka kwenye Siti yake,fumua kioo Cha mbele,anguka mbali huko lakini USO Hauna mchubuko Wala tone la damu!!!?..mtikila aliwakaribisha viongozi wa fdlr nyumbani kwake,raia wa kawaida anaweza fanya Hilo,kwa misingi ipi!?Big No mkuu. I mean umekosea hapo kwa Mtikila muweke Mbowe.
Yani ni Mrema, Marando, Maalim Seif, Mbowe na wengineo ambao wanafahamika hadi sasa.
Mtikila hawezi kuwa kitengo afu afe kishamba vile.
Usimtazame mkuu wa wilaya Kama mzanzibar Bali mtanzania mwenye wadhifa wa ukuu wa wilaya ya Tanzania
Kumbe kawaje mkuu wa wilaya!?Bure kabisa
Hawa ndio wale mwl Nyerere alikuwa anawaita wazanzi - bara 🤣🤣🤣Wazanzibari masalia🤣
Mmarekani wa jimbo lolote anaruhusiwa kufanya kazi na kumiliki ardhi katika jimbo lolote.ubinafsi. Marekani ni muungano wa nchi 50 we unataka kuvunja muungano wa nchi 2 km siyo uchawi ni nini
Usimtazame mkuu wa wilaya Kama mzanzibar Bali mtanzania mwenye wadhifa wa ukuu wa wilaya ya Tanzania
Zanzibar Kuna serikali yake,inaitwa serikali ya mapinduzi Zanzibar (smz) ambayo hapaswi kuwemo mtu asiye mzanzibarkwanini wewe usimtazame Mtanganyika kama Mtanzania anayestahili kupewa wadhifa wa ukuu wa wilaya ya Tanzania iliyopo Zanzibar
Ikitokea sherehe ya wanaopaa watajiita ndege, ikitokea sherehe ya wanaonyonyesha watajiita mamaliaHawa ndio wale mwl Nyerere alikuwa anawaita wazanzi - bara 🤣🤣🤣
Ndio maana Watanganyika wanataka kuwe na Serikali yao ya Tanganyika ambayo hapaswi kuwemo mtu asiye Mtanganyika.Zanzibar Kuna serikali yake,inaitwa serikali ya mapinduzi Zanzibar (smz) ambayo hapaswi kuwemo mtu asiye mzanzibar
Kwa sasa ni wandengereko wa Unguja 🤣🤣Ikitokea sherehe ya wanaopaa watajiita ndege, ikitokea sherehe ya wanaonyonyesha watajiita mamalia
Kikinuka unguja🤣Kwa sasa ni wandengereko wa Unguja 🤣🤣
Kikinuka mzee anakusanya familia yake na kurudi nyumbani kuendelea na maisha. Bahati nzuri mzee hakuacha kujenga kwao akijua kuna leo na kesho lolote linaweza kutokea.Kikinuka unguja🤣
Wajanja wanajua tabia za jamaa zaoKikinuka mzee anakusanya familia yake na kurudi nyumbani kuendelea na maisha. Bahati nzuri mzee hakuacha kujenga kwao akijua kuna leo na kesho lolote linaweza kutokea.