Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
 
Yaan siku ambayo wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo.... wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu..... Hii ni dharau ya waziwazi kwa wakristo

Simba isipofuzu Kateni rufaa....
Ndio halmashauri ya kichwa Chako imekaaa ikaja na hili andiko !!!?? Una Umri Gani kwanza !!?? Tangu umeishi duniani halmashauri ya kichwa Chako haijwahi kuona siku za Pasaka na Christmas kukiwa na michezo !?? Usiache kumeza vidonge vyako .
 
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Umeanza kufatilia soka lini?
 
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Huna akili
 
COVID19 imeondoka na watu wa maana imeacha wapuuzi kama hawa...

Hii nchi ina watu wapumbavu sana....
 
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
unashoboka na dini utafikiri wewe ndiye uliyezianzisha
 
Mpira wa miguu Afrika kuanzia level za club hadi mashirikisho asilimia kubwa ya viongozi wa mpira ni made in madina
 
Back
Top Bottom