Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Uefa = Jnne- Ijumaa
Caf = Ijumaa - Jpili
Huu ni upumbavu haswa 😡😡
 
Ikiwa siku ya pasaka si ndio vizuri mnaenda kucheki gemu huku umeshiba pilau

Back
Top Bottom