Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

Cristmass ndio sikukuu kubwa ya wakristo. Ila ligi nyingi za soka za majuu zinacheza mechi na hata ligi kubwa ya kikapu NBA inakuwa na mechi nyingi siku ya Xmass
Huko juu wakishamwcha Mungu .. hata hayajali
 
Ndio halmashauri ya kichwa Chako imekaaa ikaja na hili andiko !!!?? Una Umri Gani kwanza !!?? Tangu umeishi duniani halmashauri ya kichwa Chako haijwahi kuona siku za Pasaka na Christmas kukiwa na michezo !?? Usiache kumeza vidonge vyako .
Halmshauri yangu iko vzr tyu
 
Cristmass ndio sikukuu kubwa ya wakristo. Ila ligi nyingi za soka za majuu zinacheza mechi na hata ligi kubwa ya kikapu NBA inakuwa na mechi nyingi siku ya Xmass
Sikumbuki mwaka upi lakini ndani ya miaka hii miwili, ligi za israel zilichezwa ndani ya siku hiyo ya xmass
 
Achana na vitu vya kipuuzi, amka mzee, wese lishapanda huku, hiyo pasaka yenyewe inawezekana isiliwe kwa utamu.
 
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Ni siku nzuri ya kusherehekea lawama na hapo hapo marafiki mnakutana kupatia burudani toka kwa Mnyama mkali SIMBA. Iko poa Sana kwangu. Sioni tatizo, Ni full burdan
 
Mpira ni furaha ulitaka unywe pombe tuu na ulale lodge na mke wamtu
 
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.

Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Uefa wamekuwa wajanja kuliko CAF
Nechi zao zinachezwa Jnne - Ijumaa...

CAF kuanzia Iju - Jpili...huu ni upumbavu 😡😡
 
Back
Top Bottom