Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Ndio halmashauri ya kichwa Chako imekaaa ikaja na hili andiko !!!?? Una Umri Gani kwanza !!?? Tangu umeishi duniani halmashauri ya kichwa Chako haijwahi kuona siku za Pasaka na Christmas kukiwa na michezo !?? Usiache kumeza vidonge vyako .Yaan siku ambayo wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo.... wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu..... Hii ni dharau ya waziwazi kwa wakristo
Simba isipofuzu Kateni rufaa....
Umeanza kufatilia soka lini?Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.
Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Huna akiliYaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.
Simba isipofuzu Kateni rufaa.
unashoboka na dini utafikiri wewe ndiye uliyezianzishaYaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.
Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Michezo ni sehemu ya sherehe.Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.
Simba isipofuzu Kateni rufaa.
kweli mpumbavu amesema moyoni mwake hakunq Munguunashoboka na dini utafikiri wewe ndiye uliyezianzisha