Ukweli ni upi?Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!
Ila dada zetu sisi wasukuma wabayaa!!Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Mbona wakristo wanamuita fundi seremala Mungu!?..Huyu maza anazingua, anajiitaje Sir god?
Mbona Makonda alituambia yeye ni mungu wa Dar es Salaam na Magufuli ni mungu wetu, hata hivyo Mungu hakulalamika.Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Mbona serikali inatudanganya mambo mengi inayoyaahidi, na manabii na mitume wanatudanganya eti wanapinya watu huku hospitali zikiwa na wagonjwa.Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!