jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,118
Mkuu Miungu ipo Mingi kila jamii ina Mungu wake.Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!

Kama unaamini nyoka anaongea basi muache mtu kama anaamini Zumaridi ni Mungu.Nyoka gani alieongea?!
Kama yule wa mti wa katikati.
Rudi shule kwanza
Case Closed
Le mbululaz unanipotezea muda
Umejuaje kama anadanganya?Kwanini asitulie nyumbani na mume wake na kufanya biashara nyingine za kumuingizia kipato badala ya kuwalaghai watanzania wenye wasio na akili?
Kasome hivo vifunguHakuna penal code yoyote inayoweza kuzuia dini ya miungu watu nchi hii.
Mwacheni mungu wa ndondocha avune pesa jamani. Kwanini mnamfuatafuata?Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Eti wazee si heri huyu anawaambia watoto yeye ni mungu na kuna wengine huwaambia Baba zenu, kaka zenu wakubwa, mama zenu na wake zenu kwamba wao ni manabii, mitume na kadhalika... na bado tuna waamini khaaaa mitume ya wakati huu....Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Tanzania siyo nchi ya kiholela hivyo kila mtu ajifanyie kila anachotaka we nyumbuNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Wewe sir god tofauti na Zumaridi unjua ama umewahi kumuona hadi ukatae kwamba yeye sio sir god?Huyu maza anazingua, anajiitaje Sir god?
Wewe kiazi kama Mwamposa anawauzia watu mafuta, Wakatoliki wanapiga magoti kwa sanamu, Waislamu wanaenda kurusha mawe kwenye sanamu Mecca, Wahindu wanaabudu ng'ombe na Wasabato wanamuita Papa mpiga Kristo ni kitu gani cha ajabu hasa alichofanya Zumaridi mpaka uone ni uholela kuliko haya mengine??Tanzania siyo nchi ya kiholela hivyo kila mtu ajifanyie kila anachotaka we nyumbu
Uhuru bila mipaka nako ni harari pia.Wamwache, wanaingilia uhuru wa kuabudu wa waamini wake. mungu yupo selo..😂
Mwamposa alichukuliwa hatua gani alipowatumbukiza watu kukanyaga mafuta wakakanyagana na kuuana zaidi ya watu 20 kule Moshi??Uhuru bila mipaka nako ni harari pia.
Unamkumbuka KIBWETERE wa Uganda alichoma waumini wake baada ya kuwalaghai wakauza mali zao zote na kumletea pesa? Mwingine ni huyu jamaa wa Kenya aliyesababisha waumini wake wengi kujiua na kuzikwa eneo moja?
Matukio Haya yote lawama nyingi zilielekezwa kwa polisi kwamba hawakufanya juhudi za kutosha kuzuia vifo hivyo.
Inawezekana polisi wetu wana taarifa za mwelekeo wa kufanyika kwa majanga kama hayo ikabidi wachukue hatua mapema.
Tusubiri mahakama iamue.
Malaya tu anajiuza, hakuna mhubiri wa dini humo.Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Hoja yako ni nini!?Mwamposa alichukuliwa hatua gani alipowatumbukiza watu kukanyaga mafuta wakakanyagana na kuuana zaidi ya watu 20 kule Moshi??
Ili aachwe kwa uhuru ni vema:-Wamwache, wanaingilia uhuru wa kuabudu wa waamini wake. mungu yupo selo..😂
Kwenye suala la kelele za sauti hapo mnamuonea tu, wapiga kelele wa kidini na biashara wamejaa nchii ila hawaguswi.Ili aachwe kwa uhuru ni vema:-
-afuate ratiba zake vizuri kwa kuzingatia eneo,muda maalim kuhusu sala,Misa na kuabudu(naamini kuabudiwa maana yeye ndiye anajiita mungu),
-atafute njia mbadala za kudhibiti sauti za waumini,vyombo vya kupaza sauti na mazingira husika ili kuondoka kelele/kero kwa wengine hasa nyakati za usiku,
-aepuke kutumia,kuwarundika,kuwafuga watu hasa watoto bila kujali upatikanaji wa mambo mengine ya kijamii k.m elimu,kujumuika na makundi mengine n.k.
-awe na vibali halisi vinavyomuongoza katika shughuli zake hizo.
Polisi waafiki. Kwani ana tofauti gani na mwamposaNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.