Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Uongo ?Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!
Dini gani (Imani) inaongelea vitu factual ?
Ukifuta hii sababu ya uongo utafuta zote (Jambo wanaloweza kufanya ni kufuta sio sababu ya Imani ni ya uongo bali kama ina madhara immediate kwa jamii); Mfano hili la makelele (inabidi wao na wenzao wote wanaofanya hivyo waache)