Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

Ningekua serikali huyo mama mfalme ningempoteza kabisa.anatumia Uhuru wa kuabudu vibaya unakusanya watoto unaeaambia wewe ndio Mungu na unaweza kuzuia wasife huyu si anaharibu jamii huyu. Kagame alikua sahihi sana Kufunga haya makanisa ya kitapeli kule rwanda
 
Sasa kama kweli yeye Mungu?
 
Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.

Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?

Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?

Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??

Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.

Huyu ni MJINGA PRO MAX 🤣 😂
 
Zumaridi akipata mwanasheria wakili msomi anayejua pia masuala ya imani anashinda kesi mapema tu. Kesi ya kujiita mungu ni nyepesi mno hapo anachomoka
Apate wakili mmoja matata halafu nae awafungulie kesi ya madai, aombe fidia kama Bn moja hivi ndio watakoma kumsumbua Mungu wa watu 😁😁
 
Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.

Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?

Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?

Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??

Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.

Huyu mpumbavu mnuka mkojo anajiita nan???
Hana adabu
 
Kosa lake kuwaambia watoto ye ni mungu hapa anakosea ilitakiwa awasubirie wakue
Madrasa kufundisha Mungu ni Allah, Wakristo na Sunday school zao kufundisha kuhusu Yesu na uungu wake.

Kwa nini iwe kwa mmoja na sio wote?
 
Waafrika hatupendi vya kwetu, badala ya kufurahi tumepata Mungu alie hai, Sisi tumekazana kumsurubisha😄😄
 
Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.

Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?

Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?

Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??

Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.

Wewe na Zumaridi akili zenu sawa sawa
 
Back
Top Bottom