Malalamiko yako haya yatakuwa na mashĺiko baada ya mahakama kutoa hukumu itakayoenda kinyume na msimamo wako.Mfalme Zumaridi ananyanyaswa na kubaguliwa kwa sababu ya imani yake kinyume na katiba inayotoa uhuru wa kila imani na dini zote, aachwe na imani yake kama vile wengine walivyo huru katika kutekeleza imani zao.
Unaandika kama mtu mwenye uelewa na kilichofanywa na Polisi au unaandika kama mwenye negativity na chochote kinachofanywa na Vyombo vya Dola?Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Jirani yangu amekamatwa ila nimejua kupitia mtandaoNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Huyo Zumaridi ni mgonjwa wa akili anayehitaji tiba.Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Huyo ni 'Kibwetere mpya' lazima adhibitiwe kabla hajaharibu zaidiTangu lini polisi wameanza kukamata wagonjwa wa akili wasiopiga watu??
Hii ndiyo inamlipa kwa nini atafute ingine?Kwanini asitulie nyumbani na mume wake na kufanya biashara nyingine za kumuingizia kipato badala ya kuwalaghai watanzania wenye wasio na akili?
Sasa mungu yupo rockup nani anaendesha shuguli za kimungu za kila siku, ndiyo maana Mungu Jehovah ni Roho tu ,sasa kama angekuwa kama Zumaridi si leo hapo Mwanza ingekuwa ni taharukiNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Zuma namkubali sana sijui kwa nini.Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
.Naishi jirani yake kabisa,ila sijaona ubaya anaoutangaza.sisi majirani tumeshamzoea.ana umati mkubwa thou na watu wanapona kama kwa mwamposa,nina watu tunaheshiminiana nao ni waumini wake.wamuache tu maana wakifunga kanisa lake au hilo hekalu lake mtaani kunapoa biashara ina lala boda dolo.ila atakua hajui kula na sirikali ndo maana wanamuandama.mimi huyu zuma ni mteja wangu wa maziwa muacheni basi ni mpiga pesa tu wala hana madhara huyuNimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha na Zumaridi inashangaza madai ya kwamba hajasajili kanisa lake, kama ni kweli kwa nini wasimasaidie kusajili kanisa lake ? Au anakwamishwa kwa makusudi??
Dola mwacheni mfalme Zumaridi afanye mambo yake kwa amani na uhuru bila usumbufu, mpeni uhuru wote wa kidini mnaowapa waumini wa dini nyingine zote.
Yupo mbali kwenye nini huyo Zumaridi?Aliyepelekea watu zaidi ya 20 kufa kwa kunyaga mafuta ndiye Kibwetere mpya, Zumaridi yuko mbali sana.
Mahakama gani? Hiihii ya sisiemu iliyomuachia mwanzo? Kama unategemea matokeo tofauti utakua we mgonjwa jipimeMalalamiko yako haya yatakuwa na mashĺiko baada ya mahakama kutoa hukumu itakayoenda kinyume na msimamo wako.