Kinachoangamiza taifa ni double standards, tunasema sisi ni nchi ya vyama vingi halafu CHADEMA inapigwa pini, tunasema kuna uhuru wa kidini halafu Zumaridi anapigwa pini.Kama taifa kichaka cha uhuru wa kuabudu kinaangamiza Taifa hasa kwa upande wetu wa Christians,tusipokuwa makini binafsi sielewi tunakoelekea
Hayo mavyama yenu CCM sijui Chadema wote ni NJAA FC tu,huko kwenye Siasa hakuna mkweli wote wabinafsi tu.Kinachoangamiza taifa ni double standards, tunasema sisi ni nchi ya vyama vingi halafu CHADEMA inapigwa pini, tunasema kuna uhuru wa kidini halafu Zumaridi anapigwa pini.
Hiko kisa cha Marekani kilitokea kwa sababu ya sheria nyepesi za umilikaji wa bunduki Marekani, Marekani kuna hadi kanisa la shetani na hawaui watu, kuna Moonies, kuna Mormons n.kKama mnakumbuka kuna kisa kiliwahi kutokea mji mmoja US unaitwa Wako.
David Koresh alianzisha dini yake inaitwa Davidian, ilikuwa ni dini ya hovyo sana.
Alialika watu kwa anachokiamini na wakaingia wengi sana, alisema kwenye dini hiyo hakuna wivu wala undugu unafanya mapenzi na unaemtaka siku hiyo na mda wowote.
Walijiamini na wakaanza mpaka kuweka silaha na kuwa kundi kubwa sana.
Serikali ikalazimu iingie kati na kushambulia hili kundi ila walijibu mapigo na matokeo yake walikufa watu 76 wakiwemo watoto 28
Jisomee Wako Siege
Na ukawa mwisho wa dini hiyo ya kishenzi unayoruhusiwa ulale hata na dada yako au mama yako na pia mwanao.
Huyu mama ana wafuasi pia na sijui ana imani ipi mpaka wafuasi wakubali kuwa ni mungu.
Lazima mambo kama haya yadhibitiwe kulinusuru taifa la kesho
Kwani kati ya dini zenu ipi ya kweli?Inayosema Yesu ni Mungu au Allah ni mungu?? Inayosema Papa ni mtakatifu au mpinga Kristo? Inayosema kitimoto na pombe ni halali au inayosema sio halali?Hayo mavyama yenu CCM sijui Chadema wote ni NJAA FC tu,huko kwenye Siasa hakuna mkweli wote wabinafsi tu.
Hoja hapa ni kukamatwa kwa tapeli wa dini
Sasa umeleta debate nyingine inayohitaji Uzi mwingine,hapa unaharibu uzi huuKwani kati ya dini zenu ipi ya kweli?Inayosema Yesu ni Mungu au Allah ni mungu??
Mkuu hili kanisa la Wako ni Marekani na waliuliwa na jeshi, walipigwa haswa ili iwe fundishoHiko kisa cha Marekani kilitokea kwa sababu ya sheria nyepesi za umilikaji wa bunduki Marekani, Marekani kuna hadi kanisa la shetani na hawaui watu, kuna Moonies, kuna Mormons n.k
mungu kakamatwa!
Dini gani haikusanyi watoto ?Uhuru wa kidini kukusanya watoto nakuwakisha uongo?!
Yatawakuta,ngoja mtolewe kafara ndio akili zitawarudiAliyepelekea watu zaidi ya 20 kufa kwa kunyaga mafuta ndiye Kibwetere mpya, Zumaridi yuko mbali sana.
Hata Kanisa Katoliki limekuwa na skendo nyingi sana za makasisi kulawiti watoto,Mkuu hili kanisa la Wako ni Marekani na waliuliwa na jeshi, walipigwa haswa ili iwe fundisho
Kanisa lilijaza silaha kibao ndani
Na jamaa alikuwa anaagiza silaha zikiletwa na FedEx, kila aina ya silaha
Ila alizidi huyu alikuwa analala na vitoto vidogo na kuruhusu wafanye kila ubaya humo.
Nae alikufa humu na wafuasi wake
Ataonyeshwa kwa vitendo huyo nyumbu wenuBasi nyie muonesheni huyo Mungu?
Nyie waislam mkidhibitiwa utaleta kelele humu stupid na nyie mna itikadi za kipuuzi ila mmeheshimiwa hata huko UKKama mnakumbuka kuna kisa kiliwahi kutokea mji mmoja US unaitwa Wako.
David Koresh alianzisha dini yake inaitwa Davidian, ilikuwa ni dini ya hovyo sana.
Alialika watu kwa anachokiamini na wakaingia wengi sana, alisema kwenye dini hiyo hakuna wivu wala undugu unafanya mapenzi na unaemtaka siku hiyo na mda wowote.
Walijiamini na wakaanza mpaka kuweka silaha na kuwa kundi kubwa sana.
Serikali ikalazimu iingie kati na kushambulia hili kundi ila walijibu mapigo na matokeo yake walikufa watu 76 wakiwemo watoto 28
Jisomee Wako Siege
Na ukawa mwisho wa dini hiyo ya kishenzi unayoruhusiwa ulale hata na dada yako au mama yako na pia mwanao.
Huyu mama ana wafuasi pia na sijui ana imani ipi mpaka wafuasi wakubali kuwa ni mungu.
Lazima mambo kama haya yadhibitiwe kulinusuru taifa la kesho
Hilo ni kweli wamelawiti sana na Archibishop of Canterbury Justin Welby miezi kadhaa iliyopita alijizulu kwa kashfa hizo kisa alilifumbia macho kwa muda mrefu na alikuwa nayajua yanayoendelea makanisani.Hata Kanisa Katoliki limekuwa na skendo nyingi sana za makasisi kulawiti watoto,
Kama mtu amefanya jinai akamatwe kwa makosa yake, Kujiita mungu au kupiga kelele sio makosa ya jinai.
Huyo huyo muislam kila siku wana maskendo ya kuchinja watu anajifanya yeye ndie anajua upi ni ushenzi na ipi ni imani ya kweliHata Kanisa Katoliki limekuwa na skendo nyingi sana za makasisi kulawiti watoto,
Kama mtu amefanya jinai akamatwe kwa makosa yake, Kujiita mungu au kupiga kelele sio makosa ya jinai.
Hoja hujbiwa kwa hoja na uchangie kwa stahaNyie waislam mkidhibitiwa utaleta kelele humu stupid na nyie mna itikadi za kipuuzi ila mmeheshimiwa hata huko UK
Acha kuandika ujinga unataka kulazimisha uliyo fundishwa,karirishwa na kuaminishwa wewe kuhusu huyo Mungu wako ndio SI Unit ya Mungu huu ni ujingaHilo ni kweli wamelawiti sana na Archibishop of Canterbury Justin Welby miezi kadhaa iliyopita alijizulu kwa kashfa hizo kisa alilifumbia macho kwa muda mrefu na alikuwa nayajua yanayoendelea makanisani.
Ila hawakujiita Mungu
Kwa hili ni ngumu kwangu kukubali mtu kujiita mungu wakati tumefundishwa Mungu ni mmoja tu
Huyu mama kama ni kelele zake za maspika ni fujo na kusumbua watu hilo moja
Ila kuhusu haya mambo mengine kwa kweli dunia inaenda kasi sana na wengine wamekubali kuwafungisha ndoa jinsia moja
Uhuru unavuka mipaka na kwetu lazima wadhibiti haya kwa kuwaelimisha watu zaidi
Sisi tuna mila zetu pia na lazima tuzifuate
Najua siafiki baadhi ila nakubaliana na mengine
Hakuna mahali umetukanwaHoja hujbiwa kwa hoja na uchangie kwa staha
Kama huna hoja acha matusi
Kutukana ni udhaifu mkubwa sana
Ignore list inakuhusu