Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

Kwanini asitulie nyumbani na mume wake na kufanya biashara nyingine za kumuingizia kipato badala ya kuwalaghai watanzania wenye wasio na akili?
Kama Masanja mkandamizaji katelekeza kanisa lake sasa ni chawa anazulura kwa tukutuku mikoani huku anaipga hela nzuli tu.
 

Huyu hajielewi. Mfalme mwanamke umewahi kumsikia wapi!!
 
Huyu Mungu mweupe ulimuona wapi na huyo shetani mweusi ulimuona wapi.
Sifa ya Mungu ni kutoonekana,huyo mungu wako Zuma Hana sifa hizo.
Waache watoto wadogo waje kwangu ni lugha ya picha tu na sio watoto kama baby ina maana ingine kabisa
 
Natamani sana kujifunza, kujifunza na kujifunza zaidi namna ya ku manipulate mfumo wa ulimwengu huu. Wakati watu wanakufa kwa kukanyaga mafita na hakuna kitu kilichofuata, kuna mtu yuko ndani kwa kujiita Mungu. Hii ni namna ya kujua mfumo na namna ya kucheza nao
 
Kwahiyo mungu amekamatwa! Duu jamani niliiona hiyo mungu zuma akiwafundisha watoto, nazani polish wanaenda kumwelewesha, sasa wewe watoto wafundishwe yeye ni mungu kweli unaiona sawa?
 
Kwahiyo mungu amekamatwa! Duu jamani niliiona hiyo mungu zuma akiwafundisha watoto, nazani polish wanaenda kumwelewesha, sasa wewe watoto wafundishwe yeye ni mungu kweli unaiona sawa?
Sio kazi ya polisi kufundisha watu mungu ni yupi.
 
Sio kazi yao lakini yakitokea ya makenzi lawama zinaelekezwa kwa polish kwanini hawakuchunguza upo hapo!
Walishughulika na yaliyotokea tayari ya watu zaidi ya 20 kufa wakikanyaga mafuta ya Mwamposa??
 
Walishughulika na yaliyotokea tayari ya watu zaidi ya 20 kufa wakikanyaga
Mafuta ya Mwamposa?
Ndiyo wamejifunza hawataki yatokee tena, kama hawahusiki kwanini kabla ya kufungua kanisa lazima upate kibali cha serikali?
 
Kwahiyo mungu amekamatwa! Duu jamani niliiona hiyo mungu zuma akiwafundisha watoto, nazani polish wanaenda kumwelewesha, sasa wewe watoto wafundishwe yeye ni mungu kweli unaiona sawa?
Usawa ni upi? Kwahiyo wahindi wanaoabudu Ng'ombe kwa kusema ni Mungu nao wakamatwe?
 
Nchi ina wangese hii!!
 
Sbb ni kuwaambia watt ye ni mungu,sio kusajiliwa kanisa

Ushawaza km ni watt wako wanafundishwa huo upuuzi?
 
Una uhakika gani watoto wanachofundishwa Madrasa, Sunday School au kwa kina Mwamposa ni ukweli na sio uongo??
Ukiacha madrasat, makanisani vitu viko wazi mbona vibavyofundishwa..

Hivi ulishawahi kusikiliza mahubiri ya zumarid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…