Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi nyoso sana.Uchawi una miujiza yake. Unaweza kudhani unatembea kawaida kumbe usharogwa unatembea mwendo wa Michael Jackson makaburini
Kerubi anaswe KELBU arudi sawaKerubi wanatakiwa wapimwe akili
Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza.
‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa
Dah.... mkono utaozaKerubi anaswe KELBU arudi sawa
Chomeka, chomoa kitu kinazidi kupungua kama unachonga penseliPolisi nyoso sana.
Nilishaanza kumuweka sawa Zumaridi kupitia DM ya Insta yake. Wamenirushia ndege wangu dah
Makerubi mafala sana, hawakushitukia kuwa mungu yuko hatarini kupigwa machine?Polisi nyoso sana.
Nilishaanza kumuweka sawa Zumaridi kupitia DM ya Insta yake. Wamenirushia ndege wangu dah
[emoji23][emoji23]Makerubi mafala sana, hawakushitukia kuwa mungu yuko hatarini kupigwa machine?
Hahahaaaa, alitumia lugha ya kiungwana sana.. CONFUSED FELLOWS!😁😁Someone in Jf once said
Africa is a continent of confused fellows 🤣🤣
Hahahaaaa, alitumia lugha ya kiungwana sana.. CONFUSED FELLOWS!😁😁
Hahahaaaa, alitumia lugha ya kiungwana sana.. CONFUSED FELLOWS!😁😁
Kwani dhambi ndo zinazuia ukamilishaji wa bwawa la nyerere?Mara mfalme, mara mungu, tushike lipi sasa
Aisee, Tubuni na mkamilishe bwawa la Nyerere kama redemption
Da don ndio jina lenyewe. Hatambui au niseme thambi na pesa havikai kiti kimoja (ya kaisari apewe yake na Mungu apewe yake). Don ni ?.Kwani dhambi ndo zinazuia ukamilishaji wa bwawa la nyerere?
[emoji16][emoji16]View attachment 2137921
Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wakiingia kanisani.
Huenda hata mi ni kerubi lakini sijijui. Jamani mkiniona huko nikomboeni, nipelekeni Mirembe fasta
Tafuta maana ya neno ‘redemption’ kwanzaKwani dhambi ndo zinazuia ukamilishaji wa bwawa la nyerere?
Nilikuwa nikiona mada za Zumaridi humu naziruka, hivyo nilikuwa sielewi kitu, nimemfuatilia.Makerubi hawajaelewa bado
😂😂😂 walikuwa wanaaaigiza tu huo uzombi mbona hapa wanatembea uzuri tuView attachment 2137921
Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wakiingia kanisani.
Huenda hata mi ni kerubi lakini sijijui. Jamani mkiniona huko nikomboeni, nipelekeni Mirembe fasta
Roho wa Thriller ya Michael Jackson hajawashukia bado😂😂😂 walikuwa wanaaaigiza tu huo uzombi mbona hapa wanatembea uzuri tu