Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya.
Inakuaje taifa tajiri lenye ukwasi mkubwa jambo la huduma za matibabu kwa raia wake wengi linakuwa gumu hivyo hadi inakuwa ajenda kubwa za kisiasa?!
Inakuaje taifa tajiri lenye ukwasi mkubwa jambo la huduma za matibabu kwa raia wake wengi linakuwa gumu hivyo hadi inakuwa ajenda kubwa za kisiasa?!