OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
kwa mimi sisubiri niulizwe,nitasema kabla hata sijafikaMfano ww unaenda kusalimia sehem umefika unaulizwa lini unaondoka si utajisikia vibaya sana.Haya tuwaachie wazungu sisi tusiige kila kitu mkuu.
Mkuu kwa nini unahusisha hilo swali na kukosa upendo?Huu mfumo wa maisha wa kimagharibi umeepunguza mnoo upendo baina yetu, ukikaa na wazee wakusimulie maisha yao ya zamani, utaona upendo naa umoja ulitawala japo hawakuwa na kitu kivile, ila siku hizi chamgamoto, hatutembeleani, hatukirimiani kabisa, kila mtu kakumbatia watoto wake, mwisho hawajuani, zamani shule zikifungwa hata km mzee wako yupo town, unapelekwa kwwa ndugu iwe kijijini au wapi, mnakutana watoto kibao, mtakula kilichopo, ila siku hizi ni killa mtu na wake.
Kwa nini uniulize ulize habari za sijui klnaondoka lini?Swali linajieleza kabisa. Hili lipo sana kwenye familia za Kiafrika.
Nimepokea mgeni, kutokana na mipangilio ya kifamilia na kibajeti nalazimika kumuuliza atakaa hapa ugenini kwa muda gani.
Mara mgeni anaanza kusambaza taarifa mimi ni mbinafsi, sitaki kutembelewa 😂😂😂😂😂
Mahusiano yenu na ndugu hayako sawa mm nikienda kwa ndugu hawezi niuliza nitaondoka lini na nikisema naondoka lazima aone nimekaa mda kidogo na wao ni vivo hivo wakija kwangu najisikia fahari sana hata majirani zangu nao wanaona na ndugu sasa kukaa km mchawi ww na mke na watoto ya nn hii.kwa mimi sisubiri niulizwe,nitasema kabla hata sijafika
Wageni sio wa kuwachekea hata kidogo "Mfano ww unaenda kusalimia sehem umefika unaulizwa lini unaondoka si utajisikia vibaya sana.Haya tuwaachie wazungu sisi tusiige kila kitu mkuu.
Siku hizi tunaogopana..unaogopa ukienda kumtembelea ndugu atajiuliza kama mtoa mada..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu mfumo wa maisha wa kimagharibi umeepunguza mnoo upendo baina yetu, ukikaa na wazee wakusimulie maisha yao ya zamani, utaona upendo naa umoja ulitawala japo hawakuwa na kitu kivile, ila siku hizi chamgamoto, hatutembeleani, hatukirimiani kabisa, kila mtu kakumbatia watoto wake, mwisho hawajuani, zamani shule zikifungwa hata km mzee wako yupo town, unapelekwa kwwa ndugu iwe kijijini au wapi, mnakutana watoto kibao, mtakula kilichopo, ila siku hizi ni killa mtu na wake.
Upendo wa ndugu umepungua ndo maana hata shida zetu tumeshindwa kushirikiana km ndugu kuwa na ndugu ni utajiri tosha maana ukiwa na shida unashangaa unaambiwa piga no hii kuna mchele nimekutumia ama mahindi ila ww ukijifanya kauzu na maisha huna utapigika mpaka utakoma.Wageni sio wa kuwachekea hata kidogo "
we na maisha haya unabebana na watoto watatu ,unaenda kwa mtu yupo na single room unakaa zaidi ya two weeks ama mwezi mmoja"
ukute na ye apo yupo na watoto tena , siongei kama mfano ila najionea mwenyewe ..
mambo mengine tusioneane aibu mi binafsi nakuchana vp unakaa siku ngap , Kama ntaweza kumudu fresh , kama siwezi ntakuambia ucheki ustaarabu mwingne kwishaaaa..
Muache apumzike kidogo maisha yenyewe magumu mtu kaona kimvuli kwanini aende juaniSiku hizi tunaogopana..unaogopa ukienda kumtembelea ndugu atajiuliza kama mtoa mada..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu kubwa maisha yamebadilika..na sio umagharibi. Mimi mgeni wangu siwezi abadan kumuuliza lini au saangapi anaondoka..ila nawaelewa pia watu wanaouliza.
naona unapelekea swali kwenye uelekeo tofauti kabisa. Swali langu lina mahusiano gani na kushirikiana kama ndugu?Upendo wa ndugu umepungua ndo maana hata shida zetu tumeshindwa kushirikiana km ndugu kuwa na ndugu ni utajiri tosha maana ukiwa na shida unashangaa unaambiwa piga no hii kuna mchele nimekutumia ama mahindi ila ww ukijifanya kauzu na maisha huna utapigika mpaka utakoma.
Ni kweli maisha yamebadilika, ila umagharibi pia unachangia..Siku hizi tunaogopana..unaogopa ukienda kumtembelea ndugu atajiuliza kama mtoa mada..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu kubwa maisha yamebadilika..na sio umagharibi. Mimi mgeni wangu siwezi abadan kumuuliza lini au saangapi anaondoka..ila nawaelewa pia watu wanaouliza.
Upendo unahusisha kujaliana, kuheshimiana na KUTHAMINIANA.Mkuu kwa nini unahusisha hilo swali na kukosa upendo?
Nishawahi kugeuzia gia angani nikamkomesha mtu kama wewe!Mie hua nauliza 'upo mpaka lini' ili nijue vile nitafix ratiba yangu niweze enjoy na mgeni wangu. Pia kama anakaa siku chache nianze kumlaumu
Km ndugu umeshibana nae hiyo nguvu ya kumuuliza anaondoka lini unaipata wapi mkuu?naona unapelekea swali kwenye uelekeo tofauti kabisa. Swali langu lina mahusiano gani na kushirikiana kama ndugu?
Mie napenda wageni maana sina ndugu labda kusema hana issue aje tu kukaa kwangu. Kila mtu ana issues zake. Hata mimi nikienda nyumbani mama ataniuliza hilo swali ni kama kautaratibu hivi haina kukomeshana ni kuangalia jinsi gani utaspend time na mtu wako.Nishawahi kugeuzia gia angani nikamkomesha mtu kama wewe!
kaniuliza mjomba unakaa siku ngapi, nikamwambia mbili tu! akasema ooh mjomba hutupendi, kaa kaa hata wiki... dadek zake nilikuwa namcheki tu.. nilizamia miezi mitatu kipindi cha corona kile mpaka akanihamishia nyumba ya pili[emoji1][emoji1][emoji28][emoji1787]
anko asante sana kokote uliko ulinisaidia sana