Kwanini mgeni akiulizwa "unaondoka lini" inakuwa nongwa?

sisi tabia zetu hatuwaulizi wageni utaondoka lini ni aibu sana kwa sisi warabu kumuuliza mgeni utaondoka lini akae atakavyoweza kwani mgeni huja na baraka zake
Ni kweli kbsa mm nilimpkkea mgen jamaa angu mwingine yey kanirahisishia maisha sna yaani mm Ni kod tu napambana nayo ila mizosi na matuvitu vidg vdg na kulipa umeme Yuko fresh ctaman at aondoke
 
Bro. Kuna ishu naiskilizia wameniambia bado bado kwa hiyo nitakuwepo kuwepo halafu maisha pale kijijini yamebadilika? Hali ngumu sana. Wacha niwaskilizie hao walioniita wanasemaje.
 
Hapakuwa na upendo bali unafiki na uoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Staki kujua ataondoka lini sema kama upweke atakoma maana tutakuwa tunaonana usiku saa 4 na weekend tu.
 
Waambie wafanye kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wazungu na idea Yao ya Return Tickets waliona mbali
 
Huyo Mgeni kama umemualika au umemkubalia akae kwako si mmeulizana kwenye simu kabla hajaja?
 
Maisha Sasa hivi yamekuwa magumu Sana ,mtu analisha familia yake kwa 5000-10,000 kwa siku halafu we mgeni ukikaa mezani unapasua hotpot nusu kidogo inaleta utata
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Una life class A πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wakijua una vyumba vya kuwalaza kuanzia bibi, babu, shangazi, wakwe na wengine wengi hawatakaa wahame kwako. Yaani huruma nayo inatesa sana.
We utasikia nyumba yote hii yako na huko pia. Nani mwenye life class A anataka usumbufu hapa mjini πŸ€’πŸ€’πŸ€’
 
Wageni wa kulala siwapi nafasi nyumbani kwangu kama una shida nitakusaidia huko huko ulipo. Kama ni lazima uje lodge itakuhusu japo kwa gharama zangu.
Nyumbani kwako bila shaka umepazindika hutaki mtu afie kwako.
Nyumba zenu mkiuza utasikia hapakuwa pana kaliwa na mtu ndiyo maana maruweruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…