Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
 
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Nasikia kwa mbaali sauti ya JYN, "Kuna siku nchi itapigwa mnada hii"
Halafu nimebaki tu natafakari
 
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.

Wahuni wameshashika hatamu. Hakuna kitakachosalimika. Walalahoi wajiandae tu kisaikilojia!
 
Hii awamu ya sita imeshindwa kabisa kuiondoa sifa ya "wapiga dili" waliyoanza nayo.

Na jamaa wanafiki wa ACT Wazalendo wote wapo kimya kuhusu hili suala, hakuna yeyote kati yao anayefungua mdomo.

Yule Fatma Karume na ile mihemko yake ya udini nae kimya, kapotea, naamini huko alikojificha ameshapata majibu ya nani mdini kati yake na wale aliokuwa anawasema.
 
Back
Top Bottom