Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Who is Msigwa by the way? NonsenseUmemsikiliza vizuri mchungaji Msigwa wa Chadema?
Nasikia kwa mbaali sauti ya JYN, "Kuna siku nchi itapigwa mnada hii"Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Job ni mshauri wa askofu Mkuu wa Canterbury Queen Elizabeth ndio mkuu wa Kanisa AnglicanNasikia kwa mbaali sauti ya JYN, "Kuna siku nchi itapigwa mnada hii"
Halafu nimebaki tu natafakari
AhaaaJob ni mshauri wa askofu Mkuu wa Canterbury Queen Elizabeth ndio mkuu wa Kanisa Anglican
Waziri kivuli mstaafu wa Maliasili na UtaliiWho is Msigwa by the way? Nonsense
Hana loloteWaziri kivuli mstaafu wa Maliasili na Utalii
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Alisemaje babu ungweka Happ hata tumaneno machache tu za kumkotUmemsikiliza vizuri mchungaji Msigwa wa Chadema?
Kwani Msigwa ni nani? msigwa katoa MAONI wewe Jibu swali la Mtoa uziUmemsikiliza vizuri mchungaji Msigwa wa Chadema?
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizoHana lolote
To me he was the worst president in the history of this countryKwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Kuwahamishia wamasai kwenye makazi ya 'mjini'ni kuwadhulumu haki yao! Wao wanahitaji uhuru wa kufanya mila na desturi zao. Wanahitaji kukimbia na kuruka hukohuko maporini. Kuwajengea nyumba na kuwalazimisha kuishi maisha ya kisasa ni uonevu.
Huyo Askofu atakuwa amekosa mshauri!Job ni mshauri wa askofu Mkuu wa Canterbury Queen Elizabeth ndio mkuu wa Kanisa Anglican