Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Hilo la kubadili katiba unapotosha, mzalendo namba moja hakuwahi kuwazia hilo. Wabunge walichaguliwa na wananchi. Wao wanatakiwa wawe na meno kwa maslahi ya taifa. Usimsingimzie mzalendo namba moja. Sasa hivi mnauzwa kama nguruwe.
Walichaguliwa na nani,mbona mnazidi kutetea uovu ,ona madhara ya uhaguzi ule ndiyo haya Wabunge wa kuwasemea wananchi hawapo tena.Wamebaki wapiga makofi na watetea serikali kwa kila jambo hata kama lina hasara kwa nchi.Hizo ni kuni zinazomwuunguza jpm mahali popote alipo.
 
Kuwahamishia wamasai kwenye makazi ya 'mjini'ni kuwadhulumu haki yao! Wao wanahitaji uhuru wa kufanya mila na desturi zao. Wanahitaji kukimbia na kuruka hukohuko maporini. Kuwajengea nyumba na kuwalazimisha kuishi maisha ya kisasa ni uonevu.

Ni kama red indians na aborigines community ama bushmen! Kesho watafuatwa watindiga,
 
Hilo la kubadili katiba unapotosha, mzalendo namba moja hakuwahi kuwazia hilo. Wabunge walichaguliwa na wananchi. Wao wanatakiwa wawe na meno kwa maslahi ya taifa. Usimsingimzie mzalendo namba moja. Sasa hivi mnauzwa kama nguruwe.
Na aliyewauza ninyi kama nguruwe ni Magufuri kwa sababu kuu tatu:-
1.Alimpendekeza au kumteua mama Samia kuwa makamu wa Rais
2.Aliona upinzani adui namba moja wa maendeleo ya Tanzania
3.Mwishowe alihujumu chaguzi za 2019 na 2020 ili atimize kile alichokuwa anakitaka.
 
Sisi wenyewe ndio wanaowafuata hao wawekezaji, kuna tatizo miongoni mwetu ndio maana tunawafuata hao wawekezaji.

Mwalimu Nyerere alikuwa na akili kama hizi za kwako, lakini mwisho wa siku akanyoosha mikono kwa hao hao wawekezaji.
Hata siku moja Nyerere hakunyoosha mkono. Angekuwa amenyoosha mkono usingekuta hizi mbuga wanazofukuza wananchi ili kuzipiga bei kwa waarabu zipo. Kuwa na tatizo kwetu suluhisho siyo kuita wengine watufanyie. Suluhisho ni kujirekebisha na kufanya wenyewe.
 
Nyerere alikuwa na uchungu wa mali za taifa kama hayati JPM
 
Dhalimu kwako ndio alikuwa nchi? Uliza serikali ya majizi ya kura na sio kutaka kutuletea sifa za mtu hapa.
Najua unaumia sana! Pole sana kamanda uchwara

Jiwe bado anakutesa hata baada ya kufa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesema vema ila nikusahihishe kuwa mbinguni hakuna moto. Moto uko jehanamu/ziwa la moto.


Jesus is Christ
 
Worst president like Idd Amin.
Taarifa:
Ugandan's then....up to now have admirations to Iddi Amini. Hata kama hazipo hadharani!

Waganda leo wanamshukuru Iddi Amini kwa alivyowanyoosha wanyonya nchi. Aliziba mirija yote kule. Tofauti na hapa kwetu Tanzania, wafanyabiashara wengi wakubwa Uganda (so called billionaires) ni wazawa asili wa Uganda.

Back to what you asserted...utterly false, and just like the western media has propagated for years, they are doing(you) the same to the Late President J.P.M in an effort to instill hoja za uongo kuwa... Wazungu sio waovu, sio wanyonyaji! including "fear mongering" that if we do not adhere to your values, we are doomed!

Shame shame shame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…