Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Yametokea wapi kwa sasa? Nini chanzo cha kuanza kula?Kwa sababu watu walikuwa hawalimi matikiti. Na kama walikuwa hawalimi hayakuwa na soko zuri. Mkuu, swali gani hili unauliza?
Mkoa: Dar es salaamUmekulia mkoa na wilaya gani??
Tuanzie hapo
Mimi nimeyakutia ukubwani....Labda wewe ndio ulikua huli ila mimi na jamii kwa ujumla wake tumekula sana na tunaendelea tu kula.
acha kukufuru mkuuMimi nimeyakutia ukubwani....
Zamani nadhani kilikua chakula cha nguruwe tu.
Umenena kweli mkuu na hili ndiyo jibu matikiti ya sasa hivi ni yale ya laboratory siyo ya asili ndiyo maana kila siku yapo tu hayana msimu zamani matunda yalikuwa yana msimu na unajulikana kipindi hiki ni msimu wa embe baadaye nanasi, machungwa nk siku hizi mambo ya mabadilika mwaka mzima matunda yapo maana ni matokeo ya laboratory tutaachaje kuumwa?MATIKITI MAJI YALIKUWEPO ILA YALE YA ASILI YANAPANDWA MASIKA HADI MASIKA NA HAYAKUWA MENGI,
Kwàni huna za kutosha mkuu?Kwasababu siku hizi tumesikia kua yanaongeza nguvu za kiume!
Serious mkuu sio kufuru...acha kukufuru mkuu
tusubiri korosho bandiaUmenena kweli mkuu na hili ndiyo jibu matikiti ya sasa hivi ni yale ya laboratory siyo ya asili ndiyo maana kila siku yapo tu hayana msimu zamani matunda yalikuwa yana msimu na unajulikana kipindi hiki ni msimu wa embe baadaye nanasi, machungwa nk siku hizi mambo ya mabadilika mwaka mzima matunda yapo maana ni matokeo ya laboratory tutaachaje kuumwa?
Ndiyo maana yale magonjwa waliokuwa wanaumwa watu wazima nayo siku hizi hadi watoto wanayo chanzo.....
Wewe ni Ke au Me?Kwàni huna za kutosha mkuu?
Unachisema ni sahihi kwa maeneo uliyotaja. Kuna jibu la afisa kilimo liko mbele hapo utaliona nafkiri lafaa kwa swali lako.Mkoa: Dar es salaam
Wilaya: Kinondoni.
Kumbe haya tunayokula kila siku ni broiler... TumekwishaMATIKITI MAJI YALIKUWEPO ILA YALE YA ASILI YANAPANDWA MASIKA HADI MASIKA NA HAYAKUWA MENGI,