Shida mlikua mki wa FIRAuni mama zaoEbu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
Sa unafikiri kama sio makosa ya wazazi hii laana ingekuwepo??Duh yamekuwa ayo tena
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
PichaEbu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
Sio Kila Mwenye umbo la kiume ni mwanaume, usidanganyike. Mwanaume ana chetezo anajifukiza udi, Hilo punga zaba vibaoEbu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
Babe naomba nikukague chemba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo town kwa vijijin hiyo tabia badoHao watu wako wapi huku kwetu kijijini sijawai waona kabisa. Unaweza nisaidia picha
Siyo ki hivo sasa na mwanamke afanyeje sasaKwani hawaruhusiwi kujipamba??
Kila mtu anahulka yake,so kila anajipamba ni shoga ni hulka yake tuSiyo ki hivo sasa na mwanamke afanyeje sasa