Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
 
Shida mlikua mki wa FIRAuni mama zao
 
Hao watu wako wapi huku kwetu kijijini sijawai waona kabisa. Unaweza nisaidia picha
 
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini

Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
Picha
 
Sio Kila Mwenye umbo la kiume ni mwanaume, usidanganyike. Mwanaume ana chetezo anajifukiza udi, Hilo punga zaba vibao
 
Mtoa mada lazima uelewe si kila mwenye "BOLO" ni mwanaume!wengine wanayo ya urembo tu,wengine KAMA chaja za kobE inapelekewa moto nayo inapeleka moto.
 
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
6C86401E-13E3-48E1-851B-A0079127B6F7.jpeg
 
Back
Top Bottom