Kwanini Micky Jnr anachochea sana moto Tanzania wapokonywe nafasi yao AFCON apewe guinea?

Kosa lipo ,namba iliyotumwa Caf na kuandikwa kwenye players list sio aliyovaa
Mchezaji gani alicheza? Je amecheza mchezaji tofauti na aliyepelekwa?

Hebu acha siasa ndugu haya adhabu yake inasemaje?
 
Hii imfikie mdukuzi aelewe hilo
Aliyecheza ni mchezaji ambaye kamisaa alikagua na kukuta jina lake lipo sasa hapo ni namba tu na faini watapigwa basi
 
Lakini kwa nini wakose umakini kiasi hicho? Kwamba jezi yake ni 24, kwa nini alivaa 26? Huoni kwamba ni kukosa umakini kwa uongozi na hata huyo mchezaji?
 
Ukiangakia anavishambuliwa micky kwa kuripoti hii habari, hautashangaa sana serikali inavoziendesha hizi media za hapa ndani
 
Kosa lake adhabu ni kuondolewa AFCON?

Mbona micky yeye anasema ni CAF experts journalists yaan kwenye mikutano anapewa priority?
Acheni kukariri wabongo hapo hakuna kosa kubwa kivile la kuondolewa CAF AFCON

Mchezaji unadhani anaingia tu hovyo? Walikagua jina lake wakakuta lipo kwenye list ndio akaingia hapo hakuna kesi
 
Mchezaji gani alicheza? Je amecheza mchezaji tofauti na aliyepelekwa?

Hebu acha siasa ndugu haya adhabu yake inasemaje?
Basi walikuwa wajinga kusema kila mchezaji na namba ya mgongoni viijulikane mapema
 
Mlikuwa mnamchekelea alipokuwa anaishambulia Yanga, leo imekuwaje tena?
 
Ukiangakia anavishambuliwa micky kwa kuripoti hii habari, hautashangaa sana serikali inavoziendesha hizi media za hapa ndani
Nyie ndiyo matanzania majinga majinga sana

Swala sio kuripoti ila swala ni yeye kuivalia njuga sana post zaidi ya 10!

Halafu mbona habari zake huwa ziko biased sana?
Mfano ahly ahly wameshafanya ujinga mwingi sana ila anapost kwa kupetipeti sana ila ndiyo vile watanzania mmejaa ujinga na kujipendekeza sana

Mnapenda kutafuniwa tu na sio kufikiria na nyie ndiyo mtaji wa micky huyo
 
Mlikuwa mnamchekelea alipokuwa anaishambulia Yanga, leo imekuwaje tena?
Huyo micky tulishasema sana ila wajinga wa huko ukoloni wakaona raha anavyowasifia

Kiufupi micky asilimia kubwa ya followers wake ni watanzania wajinga wa simba tu hata kwao hana followers wengi kivile unajua kwanini mwenzie nuhu Adams kamzidi mbali?

Nuhu sio mnafki kama haka kajamaa
 
Kaichafuaje tanzania elezea kwa hoja 3 tu
Unajifanya future gumu ama?

Umesoma uzi ukaelewa au ndiyo unajifanya mghana halisi?

Acha ujinga huoni aliyofanya? Just try to think kijana
 
Ishu ya kuweka post kama 10 hapo lawama wa kwanza apewe mmiliki wa twita na maokoto yake. La pili sioni kipya kwa post nyingi ni kama fabrizio tu kwenye transfer ya mchezaji.

Lengo hapa ni sisi kujiuliza imekuaje ikatokea vile.
 
Unajifanya future gumu ama?

Umesoma uzi ukaelewa au ndiyo unajifanya mghana halisi?

Acha ujinga huoni aliyofanya? Just try to think kijana
KEsi ni tanzania vs guinea. Sidhani kama ghana ilihusika mkuu
 
Ishu ya kuweka post kama 10 hapo lawama wa kwanza apewe mmiliki wa twita na maokoto yake. La pili sioni kipya kwa post nyingi ni kama fabrizio tu kwenye transfer ya mchezaji.

Lengo hapa ni sisi kujiuliza imekuaje ikatokea vile.
Wewe bado sana kulijua soka la Africa bado sana .

Sikiliza fabrizio sio chawa wa baadhi ya team hilo sahau na ukome kumcompare na huyo mjanja mmoja wa Ghana.

Fabrizio anaaminika sana duniani na huwa hayupo biased yeye anatoa ripoti sana sana za transfer tu

Ila huyu jamaa yenu ni muongo sana na mzuri wa kueneza propaganda zake uchwara anazopata interest zake ikiwemo hii na hii ya sasa.

Ila nyie mmekunywa maji ya bendera hamuoni

Unadhanj Ghana wangekuwa ndio Tanzania kwenye scenario hii angeshoboka namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…