Msemaji_
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 602
- 801
Anaetakiwa kukagua jezi za wachezaji kabla ya match ni nani mkuu? Kamishina wa mchezo ana kazi Gani? Na vipi namba huwa zinaandikwa pindi mchezaji anaingia uwanjani au refa anakuwa nazo teyar? Kama huwa zinaandikwa kwenye kile kibao huenda alikosea kuandika refa msaidizi