Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Nionavyo mimi ingawa sijafanya huo utafiti inaweza kuwa ni sababu za kimakuzi. Mwambao tuna shughuli 2 tu.kitandani na jikoni basi.Hatujihusishi sana na mambo mengine kama kilimo,elimu,kwaya,nk.
 
Yaani una akili mpaka unakera![emoji106]
 
Hawajui kupika pia si wabunifu wa mapishi nina sababu 2 ukitaka takwambia
 
fika kahama,waarabu wengi,na wakazi wengi si christians ila kwenye migahawa hawajui kupika,wanajua kuweka viungo vingi kwenye mchuzi,yaani balaa
 
Kulikuwa na shida gani ya kutaja mikoa husika badala ya kuhusisha dini mbona waislanu wengi wanakula nguruwe na siyo ishu kabisa
HILO LAKO NA SI KILA MWENYE JINA ATHUMANI AU YAASINI NI MUISLAM WENGINE NI MAJINA TU! NA KAMA HUAMINI HILO NJOO DODOMA!
 
Ni kweli kwasababu wao muda mwingi ufikiria kupika kuliko shule,wa upande wa pili muda mwingi waliutumia shule
SI KWELI KABISAAAAA!HAO WA MIGOMBANI WASIO NASHULE NA WAGG WA DODOMA NAO NI SHULE IMEWA FANYA WASIJUE MAPISHI?
 
Dhana yako haina ukweli. .......hakuna somo la mapishi madrassa. ......Kuna masomo ya binadamu wamjue mungu ni yupi na dini ni ipi. .kwa ushahidi wa kitabu.
 
Kwa Nini upate shida mkuu! Hili nalo ndo mpaka ufungue thread hapa? Kama Mighahawa ya Kikristo haikupi chakula unachosema kitamu! Nenda kwenye Mighahawa ya Kiislamu ukale....! Simple.....!!!
UNAJUA UKWELI HUCHOMA HATA KAMA HAUNA NCHA
 
Wagalatia na mapishi ni sawa na bashite na vyeti.
Kwanza umejiita ni Dr. Samahani ni daktari mzamivu au daktari wa cheti anayetibu mbwa mitaani au kupima nyama bucha. Nataka nikujibu baada ya kutambua na mtu wa kiwango gani cha elimu na ufahamu.
 
Mkuu
Chakula kizuri ni kipi? Kila mtu ana test yake. Kama pilau la kiislam kwako ni deal mwingine burger ndo deal.
Unaposhabikia wali wanazi we mtu wapwani, msukuma ugali ndo deal hivyo topic yako si oni mantiki yake zaidi ya element za ugonganishi.
HATA BURGER LA JUMA NI TAMU TOFAUTI NA LA FARU
 
Unataka tusii au?
 
Kwanza umejiita ni Dr. Samahani ni daktari mzamivu au daktari wa cheti anayetibu mbwa mitaani au kupima nyama bucha. Nataka nikujibu baada ya kutambua na mtu wa kiwango gani cha elimu na ufahamu.
Hakuna msosi mtamu kama rosti ya Kitimoto...

Hii lishe bora inatengenezwa na waislamu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…