Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee chakula cha Mwambao ni kitamu balaa sijui wanapika wakiwa uchi? Au pale Cafe la Aziz. Unaweza ukaondoa ratiba ya kula nyumbani.
Yaani una akili mpaka unakera![emoji106]Wakati unaandika ujinga huu, kesho usiwe wa kwanza kusema 'oooh mbona nafasi wanapewa Edith na Rachel tu, kwani kina Mwantumu na Zena sio wanawake'?
Maisha ni maandalizi. Mtu akiniambia wanawake wa Kikristo hawajui kupika labda nitamuuliza chakula gani. Kitu kama biriani na vitumbua si asili ya watu wa bara na hata mimi ukinipikia biriani utamichefua. Nikiwa na akili zangu timamu, too much spices ni uchafuzi wa tumbo langu. Mke wangu anajua kupika, kuliko hao mama ntilie walioorodheshwa hapa.
Kitimoto mnaturostiaga nyie?
Labda huko uswahilini mnakoishi waweza kuona jambo, wacha nikusaidie. Wakati mama Flora anamhimiza binti yake aende shule maneno yake hayatafanana na ya mama Aisha akimhimiza Aisha asugue sufuria 'ling'ae'.
Mama Flora: Hivi wewe, ukishafeli utaishi maisha gani hapa mjini kama sio kutegemea wanaume wakulishe wewe? Nani anataka golikipa siku hizi?
Mama Aisha: Wewe endeleaga hivyo hivyo na mkichwa wako mzito, tui la kwanza linakuwaga hivyo...we hata humalizi mwaka mumeo atakuolea mke mwingine, hebu niondokee hapa
MAISHA NI VIPAUMBELE.
si sababu hiyo mkuu.kwa wenye majina ya khadija hata kama ni dokta wa falsafa basi ujue jikoni ni profesa wa mapishi!Kama kuna ukweli fulani, labda kwa sababu wengine hawana muda wa kusoma elimu dunia basi wanashinda jikoni.
SENA HAWAJUI KUPIKA SUPU ZAKULOWEKWA BALI WANAJUA KUPIKA SUPU ILIYOPIKIKA MKUUila waislamu wengi hawajui kupika supu .supu inachanganywa hadi na maviungo kibao.sasa sijui ni supu au pilau
HILO LAKO NA SI KILA MWENYE JINA ATHUMANI AU YAASINI NI MUISLAM WENGINE NI MAJINA TU! NA KAMA HUAMINI HILO NJOO DODOMA!Kulikuwa na shida gani ya kutaja mikoa husika badala ya kuhusisha dini mbona waislanu wengi wanakula nguruwe na siyo ishu kabisa
SI KWELI KABISAAAAA!HAO WA MIGOMBANI WASIO NASHULE NA WAGG WA DODOMA NAO NI SHULE IMEWA FANYA WASIJUE MAPISHI?Ni kweli kwasababu wao muda mwingi ufikiria kupika kuliko shule,wa upande wa pili muda mwingi waliutumia shule
Dhana yako haina ukweli. .......hakuna somo la mapishi madrassa. ......Kuna masomo ya binadamu wamjue mungu ni yupi na dini ni ipi. .kwa ushahidi wa kitabu.Kula Wakristo siyo hoja sana kwao. Ni urithi wa kizungu. Waliokwenda Ulaya, vyakula vyao siyo vitamu ki hivyo! Waarabu wanajali sana kula ndio maana viungo vingi vina soko Uarabuni. Ni part ya Uislamu nadhani! Wanafundishwa nadhani madarasa! Mwambao wote wanajua kulemba chakula. Stand to be corrected!
UNAJUA UKWELI HUCHOMA HATA KAMA HAUNA NCHAKwa Nini upate shida mkuu! Hili nalo ndo mpaka ufungue thread hapa? Kama Mighahawa ya Kikristo haikupi chakula unachosema kitamu! Nenda kwenye Mighahawa ya Kiislamu ukale....! Simple.....!!!
Kwanza umejiita ni Dr. Samahani ni daktari mzamivu au daktari wa cheti anayetibu mbwa mitaani au kupima nyama bucha. Nataka nikujibu baada ya kutambua na mtu wa kiwango gani cha elimu na ufahamu.Wagalatia na mapishi ni sawa na bashite na vyeti.
HATA BURGER LA JUMA NI TAMU TOFAUTI NA LA FARUMkuu
Chakula kizuri ni kipi? Kila mtu ana test yake. Kama pilau la kiislam kwako ni deal mwingine burger ndo deal.
Unaposhabikia wali wanazi we mtu wapwani, msukuma ugali ndo deal hivyo topic yako si oni mantiki yake zaidi ya element za ugonganishi.
Unataka tusii au?Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Hakuna msosi mtamu kama rosti ya Kitimoto...Kwanza umejiita ni Dr. Samahani ni daktari mzamivu au daktari wa cheti anayetibu mbwa mitaani au kupima nyama bucha. Nataka nikujibu baada ya kutambua na mtu wa kiwango gani cha elimu na ufahamu.