Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Kabla ya waarabu kuja afrika mashariki mapishi yalifanana kwa kiwango fulani kati yetu. Nunua mapishi kwa waislam ni matokeo ya kuadopt eastern Arabic civilization ambao kwao kupika wamekutilia juhudi sana ndo maana hata ukienda mighahawa ya wapemba wapishi wengi ni wanaume kwa hiyo Hilo jambo lipo kitamaduni zaid kuliko kidini. Sidhani kama Kuna mafundisho ya mapishi kwenye Quran Wala Bible.
 
Utamu na usio utamu ni relative term in terms of food consumption. Mimi nimeshindwa kuelewa wahaya wanaposema matoke ni matamu huo utamu wanaupataje ila ukweli ni kuwa wanauhisi. Wametest hivyo vyakula vingine ila hawajaona huo utamu. Ndo mana nasema UTAMU UKO KWENYE ULIMI WA MUHUSIKA.
 
mzee ni kwasababu hawaweki maji ya ........... kwenye msosi.
 
pale mafinga kuna restaurant moja inaitwa"ZANZIBAR YETU" aiise hao wapemba wanapika chakula kitamu,,mno hata pale mbagala zakheem kuna restaurant moja hivi ya waislamu nimeisahau jina,,hao jamaa wapo vizur kwenye sekta ya msosi

mimi ni mkristo lakini nakubaliana na hoja yako mkuu
 
Kwahiyo mtu Mwarabu wewe ndio unachukulia ni uislam? Hujui kuna maaskofu Wa kikristo waarabu?
Pia meli ni technology ya kale. Hivyo eneo lote lenye mazingira ya mito Bahati lake .n.k binadamu aligundua usafiri Wa majini like mtumbwi mashua meli n.k

Upishi ni viungo ukijua kuvichanganya... Migahawa au hotel za wamiliki Wa kiislam hutafuta wapishi Wazuri na wasio wavivu kwenye kupika. Na wakrusto wengi kukaa jikoni ni wavivu ndio maana misosi mibaya sio siri yaani mpaka abahatishe ndio utaenjoy. But misosi mitamu hayo huwezi kula kila siku inakinaisha... Zamani tulikuwa tunajua siri ya msosi mtamu ni binzari lakini hamna kitu ni sumu tupu mwilini tukastuka tukaacha kabisa... Kuhusu pilau tukaona ni tamu tukapewa viungo vimesagwa pilau ikipikwa ni Mbaya mno kumbe viungo havitakiwi kusagwa na mchele Wa pilau sio ule Wa Moro,ndungu,au shinyanga wake ni pishori au basmat.. Mandi special ni ya kisomali
 
Acha maneno yako, uchochezi wapi, huo ndio ukweli, waisalamu wanajua kupika na nisababu ya connection ya uarabu. Kipindi cha Ramadhani sote tunakula futari regardless of dini zetu, coz hawa jamaa ni noma kwenye mapishi.
Mkuu, Mie yangu mcho ! Utajikuta uko kituo cha police cha kati!, je, unakumbuka yaliyotokea Buselesele mkoani Geita mwaka 2014?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…