Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

Mimi sio mvaa kobazi dogo

Haya basi kama wewe sio mvaa kobaz, kaa ukijua wenzako siku wakiamua kufuata haya maagizo utakoma

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Tuonyeshe tu mgawanyiko wa shareholders ili tuufunge huu mjadala maneno yasiwe mengi
 
Tuonyeshe tu mgawanyiko wa shareholders ili tuufunge huu mjadala maneno yasiwe mengi
Kasome tena post nanba 59, nimeweka attachment inaonnesha wamerekani wanamiliki kisima cha mafuta ndani ya Saudi Arabia. Unajuwa maana yake? Au lugha imekupiga chenga?
 
Mbona kajopambanua vizuri tu kwenye aya hizi na ziko nyingi

Na Mola wenu akasema "Niombeni nitakujibuni". Kwa hakika wale wajivunao kufanya ibada yangu bila shaka wataingia Jahannam, wadhalilike".

(Sueat Al - Muumin - Ghafir- 60).

Na akasema:-
"Na waja wangu watakapokuuliza hakika yangu Mimi niko karibu nao. Naitikia maombi ya muombaji anaponiomba. Basi waniitikie na waniamini ili wapate kuongoka".

Surat Al - Baqarah - 186
 
Ongezea kabisa kua marekani ananufaika na kuvuna mabilioni ya dollar kutoka uarabuni kuliko sehemu yoyote duniani
 
Tent na turubai kwa nini hawekwi yeye mpaka awekewe na nyinyi waumini!?..fungu la kumi na sadaka toka kwa binaadam za nini wakati ana uwezo wote kwa asijifanyie mwenyewe!?...halafu abdool ni nani!?
 
Ongezea kabisa kua marekani ananufaika na kuvuna mabilioni ya dollar kutoka uarabuni kuliko sehemu yoyote duniani
Ndiyo ukweli wenyewe huo.

Anaekataa kumpa mgao wake kinamkuta kilichomkuta Saddam na Ghadafi.

Walishasema wazi kabisa "You're either with us or you are against us".
 
Binuka binuka ndiyo nini?
 
Kasome tena post nanba 59, nimeweka attachment inaonnesha wamerekani wanamiliki kisima cha mafuta ndani ya Saudi Arabia. Unajuwa maana yake? Au lugha imekupiga chenga?
Umesema kuwa Marekani wana hisa pale Saudi Aramco. Nikasema si kweli

Basi utupe mgawanyiko wa shareholders pale Saudi Armaco tuone kama Marekani ana hisa
 
Umesema kuwa Marekani wana hisa pale Saudi Aramco. Nikasema si kweli

Basi utupe mgawanyiko wa shareholders pale Saudi Armaco tuone kama Marekani ana hisa
Nimeshalijibu hilo mara nyingi rudia posts tu, lakini hata jina Arabian American Company (Aramco) halikupi maana yoyote?

Kumbuka, toka ARAMCO ifanywe public company sheria haziwaruhusu na haiingii akilini kutangaza share holders mmoja mmoja ni kina nani. Siyo Limited company hiyo.
 
Marekani siioni kwenye shareholders
 
Well said, USA ni mabingwa wa kupika sumu ili majirani na mataifa wasielewane - lengo kuu hasa la Merikani ni kuyatafutiia soko viwanda vikubwa vya kuunda silaha (MIC)vya Merikani - bila ya kuchochea vita kila pembe ya Dunia Viwanda vyao vya silaha vitakosa kazi.
 
Tent na turubai kwa nini hawekwi yeye mpaka awekewe na nyinyi waumini!?..fungu la kumi na sadaka toka kwa binaadam za nini wakati ana uwezo wote kwa asijifanyie mwenyewe!?...halafu abdool ni nani!?
Abdoool uko hai kumbe
Yehova ni mwenye upendo sana hata hizo tents sio lazima hatuhitaji mahala ndio maana tunamwabudu Yehova hata kwenye nyumba zetu una hiyo habari?

Fungu la kumi maana yake ni shukrani kwa ulilotendewa na Yehova mathalani mimi mwaka huu nampango wa kutoa fungu la kumi baada ya kufanikisha jambo langu nililolihangaikia kwa miaka takribani sita
 
Allah ni mfarakanishi, Allah ni mgomvi,Allah hapendi ustawi wa jamii, Allah hana NGUVU.

Leo hii uko tayari kuniua kisa kuikashifu dini au kutenda yaliyo kinyume pale mskitini kwako.
Leo hii uko tayari kuoa binti wa miaka 12 na uzee wako huo kisa kufuata alichokifanya mtume wako.

Allah hajakwambia utumie mikono yako abdool?
 
Ndiyo ndiyo. Nakufuatilia hapa japo umejibu kinyonge sana bimdashi
 
Wametia maslahi yao kwenye ardhi ya miungu yenu, mzungu ni balaa isingekua kwa yeye hiyo miungu yenu ingekua maskini sana.
Ardhi zote za Mungu ile Kaaba ni nyumba takatifu na hakuna jambo ambalo linafanyika kuharibu utakatifu wake, nani kakwambia nchi za kiislamu basi wasio waislamu hawana haki ya kuishi? fata taratibu za watu utaishi
 
Wacha kuteseka bana, bila akili za mzungu hao miungu wenu waarabu wangekua wanateseka kwa umaskini na kuvaa mikanzu na kuota mindevu kama ambavyo mnavyofanya wengi huko Pwani kwenye dini yao imezagaa.
Sasa ndevu na Kanzu zina shida gani? hakuna mtu mwema ambaye hakuvaa kanzu au kufuga ndevu au kufanya vyote , ndevu ni kwa wanaume
 
Sasa ndevu na Kanzu zina shida gani? hakuna mtu mwema ambaye hakuvaa kanzu au kufuga ndevu au kufanya vyote , ndevu ni kwa wanaume

Mkivaa hiyo mikanzu na mindevu yenu na kubinuka akili huwahama sana ndio maana mara nyingi huwa mnajilipua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…