Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

Mimi sio mvaa kobazi dogo

Haya basi kama wewe sio mvaa kobaz, kaa ukijua wenzako siku wakiamua kufuata haya maagizo utakoma

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Arabian American Company.

Siyo tu hawana hisa, waliianzisha hiyo kampuni. Kama US wameachia hisa zao Aramco, elewa ni siasa tu za funika kombe mwanaharamu apite, unafikiri Wamerekani wajinga kulinda maslahi yao? Au umeisahau "Arab spring".
Wasaudi hawathubutu kuwanyuma hisa na Mafuta Wamerskani, unafikiri hawajaona yaliyowapa Saddam na Ghaddafi kwa kubania mafuta na kuvunja mikataba inayohusu mafuta na US?
Soma japo kiduchu: The U.S. and Saudi Arabia Since the 1930s - Foreign Policy Research Institute

Mfano mzuri ni haoa Tanzania tulipojidai hatuwataki mabepari wachimbe dhahabu, tukapigwa mkwara tukakubali "Ficha pombe* Mwanaharamu apite".

Soma:

View attachment 2640847
Tuonyeshe tu mgawanyiko wa shareholders ili tuufunge huu mjadala maneno yasiwe mengi
 
Tuonyeshe tu mgawanyiko wa shareholders ili tuufunge huu mjadala maneno yasiwe mengi
Kasome tena post nanba 59, nimeweka attachment inaonnesha wamerekani wanamiliki kisima cha mafuta ndani ya Saudi Arabia. Unajuwa maana yake? Au lugha imekupiga chenga?
 
Allah hana uwezo wa kujibu maombi yoyote maana yeye tu hana nguvu za kujitetea hadi mnamtetea ninyi tena kwa mikono yenu.

Mr's Abdool tafakari nikichoma kitabu chako mtanivamia na kunichoma moto ama kunipiga mpaka kufa au nikija masjid nikafanya yaliyokatazwa mtanifanya kitu kibaya sana lakini katika Ukristo hiyo ni neema nitaokelewa.

Andiko ni refu hata nikiliweka najua hautalisoma ila soma Zaburi ya 66 yote utaona namna gani Yehova ana nguvu za kutusaidia na kututetea wanae
Mbona kajopambanua vizuri tu kwenye aya hizi na ziko nyingi

Na Mola wenu akasema "Niombeni nitakujibuni". Kwa hakika wale wajivunao kufanya ibada yangu bila shaka wataingia Jahannam, wadhalilike".

(Sueat Al - Muumin - Ghafir- 60).

Na akasema:-
"Na waja wangu watakapokuuliza hakika yangu Mimi niko karibu nao. Naitikia maombi ya muombaji anaponiomba. Basi waniitikie na waniamini ili wapate kuongoka".

Surat Al - Baqarah - 186
 
Kitu ambacho kajaaliwa mwanaadam ni uwezo wa kufikiri na kuamuwa. Hata malaika hawajapewa uwezo huo.

Mmarekani Saudia Arabia analinda maslahi yake. Ana hisa kubwa sana katika shirika kubwa duniani la uchimbaji mafuta, nalo lipo Saudi Arabia, linaitwa Saudi ARAMCO, Arabian American Company.

Umeelewa. Kijana? Uwepo wake kuilinda Saudi Arabia ni kwa naslahi yake 100%.

Ongezea kabisa kua marekani ananufaika na kuvuna mabilioni ya dollar kutoka uarabuni kuliko sehemu yoyote duniani
 
Abdoool long time no see karibu sana
Jehovah haitaji nyumba kwa ajili ya ibada ndio maana watu wanasali kwenye mahema na maturubai.

Fungu la kumi ni sheria yake hivyo lazima ifuatwe, ila abdool Mungu wetu hatetewi wala hapiganiwi kama wenu.

Allah ana sifa zifuatazo kwa uchache
1. Kiziwi
2. Bubu
3. Hana nguvu
4. Mfarakanishi
Tent na turubai kwa nini hawekwi yeye mpaka awekewe na nyinyi waumini!?..fungu la kumi na sadaka toka kwa binaadam za nini wakati ana uwezo wote kwa asijifanyie mwenyewe!?...halafu abdool ni nani!?
 
Ongezea kabisa kua marekani ananufaika na kuvuna mabilioni ya dollar kutoka uarabuni kuliko sehemu yoyote duniani
Ndiyo ukweli wenyewe huo.

Anaekataa kumpa mgao wake kinamkuta kilichomkuta Saddam na Ghadafi.

Walishasema wazi kabisa "You're either with us or you are against us".
 
Dini ikitulia ifanye mambo yake bila kuzingua watu wala hautaskia tukiisema, kwa mfano mabudha na wahindu wanafanya yao huko na huskii mtu akitoa tamko kuwahusu, ila hii yenu mara mtulipukie mabomu, mara mchinje watu kuwalazimisha waabudu hicho mnachokiabudu, hamtulii mfanye yenu.

Vaa mikanzu yako, ota mindevu, binuka binuka utakavyo ila yafanye bila kulazimisha wengine au kufanya fujo au mauaji, tutakuheshimu wewe na mambo yako na hautaskia ukisemwa.
Binuka binuka ndiyo nini?
 
Kasome tena post nanba 59, nimeweka attachment inaonnesha wamerekani wanamiliki kisima cha mafuta ndani ya Saudi Arabia. Unajuwa maana yake? Au lugha imekupiga chenga?
Umesema kuwa Marekani wana hisa pale Saudi Aramco. Nikasema si kweli

Basi utupe mgawanyiko wa shareholders pale Saudi Armaco tuone kama Marekani ana hisa
 
Umesema kuwa Marekani wana hisa pale Saudi Aramco. Nikasema si kweli

Basi utupe mgawanyiko wa shareholders pale Saudi Armaco tuone kama Marekani ana hisa
Nimeshalijibu hilo mara nyingi rudia posts tu, lakini hata jina Arabian American Company (Aramco) halikupi maana yoyote?

Kumbuka, toka ARAMCO ifanywe public company sheria haziwaruhusu na haiingii akilini kutangaza share holders mmoja mmoja ni kina nani. Siyo Limited company hiyo.
 
Screenshot_20230531-101255_Chrome.jpg

Marekani siioni kwenye shareholders
 
Hakuna cha ulinzi hapo zaidi ya kijimwambafai tu basi. Vita ya Ukraine imishamvua pichu kuwa Patriot hakuna kitu zaisi ya midoli tu.

Yemen Saudia na iran zimeisha patana na sasahivk anatafutiwa sababu ya kutimuliwa hapo. USA alikuwa anapika sumu dhidi ya majirani ilo awe na uhakika wa kukaa hapo sasa kaishashitukiwa
Well said, USA ni mabingwa wa kupika sumu ili majirani na mataifa wasielewane - lengo kuu hasa la Merikani ni kuyatafutiia soko viwanda vikubwa vya kuunda silaha (MIC)vya Merikani - bila ya kuchochea vita kila pembe ya Dunia Viwanda vyao vya silaha vitakosa kazi.
 
Tent na turubai kwa nini hawekwi yeye mpaka awekewe na nyinyi waumini!?..fungu la kumi na sadaka toka kwa binaadam za nini wakati ana uwezo wote kwa asijifanyie mwenyewe!?...halafu abdool ni nani!?
Abdoool uko hai kumbe
Yehova ni mwenye upendo sana hata hizo tents sio lazima hatuhitaji mahala ndio maana tunamwabudu Yehova hata kwenye nyumba zetu una hiyo habari?

Fungu la kumi maana yake ni shukrani kwa ulilotendewa na Yehova mathalani mimi mwaka huu nampango wa kutoa fungu la kumi baada ya kufanikisha jambo langu nililolihangaikia kwa miaka takribani sita
 
Mbona kajopambanua vizuri tu kwenye aya hizi na ziko nyingi

Na Mola wenu akasema "Niombeni nitakujibuni". Kwa hakika wale wajivunao kufanya ibada yangu bila shaka wataingia Jahannam, wadhalilike".

(Sueat Al - Muumin - Ghafir- 60).

Na akasema:-
"Na waja wangu watakapokuuliza hakika yangu Mimi niko karibu nao. Naitikia maombi ya muombaji anaponiomba. Basi waniitikie na waniamini ili wapate kuongoka".

Surat Al - Baqarah - 186
Allah ni mfarakanishi, Allah ni mgomvi,Allah hapendi ustawi wa jamii, Allah hana NGUVU.

Leo hii uko tayari kuniua kisa kuikashifu dini au kutenda yaliyo kinyume pale mskitini kwako.
Leo hii uko tayari kuoa binti wa miaka 12 na uzee wako huo kisa kufuata alichokifanya mtume wako.

Allah hajakwambia utumie mikono yako abdool?
 
Kitu ambacho kajaaliwa mwanaadam ni uwezo wa kufikiri na kuamuwa. Hata malaika hawajapewa uwezo huo.

Mmarekani Saudia Arabia analinda maslahi yake. Ana hisa kubwa sana katika shirika kubwa duniani la uchimbaji mafuta, nalo lipo Saudi Arabia, linaitwa Saudi ARAMCO, Arabian American Company.

Umeelewa. Kijana? Uwepo wake kuilinda Saudi Arabia ni kwa naslahi yake 100%.
Ndiyo ndiyo. Nakufuatilia hapa japo umejibu kinyonge sana bimdashi
 
Wametia maslahi yao kwenye ardhi ya miungu yenu, mzungu ni balaa isingekua kwa yeye hiyo miungu yenu ingekua maskini sana.
Ardhi zote za Mungu ile Kaaba ni nyumba takatifu na hakuna jambo ambalo linafanyika kuharibu utakatifu wake, nani kakwambia nchi za kiislamu basi wasio waislamu hawana haki ya kuishi? fata taratibu za watu utaishi
 
Wacha kuteseka bana, bila akili za mzungu hao miungu wenu waarabu wangekua wanateseka kwa umaskini na kuvaa mikanzu na kuota mindevu kama ambavyo mnavyofanya wengi huko Pwani kwenye dini yao imezagaa.
Sasa ndevu na Kanzu zina shida gani? hakuna mtu mwema ambaye hakuvaa kanzu au kufuga ndevu au kufanya vyote , ndevu ni kwa wanaume
 
Sasa ndevu na Kanzu zina shida gani? hakuna mtu mwema ambaye hakuvaa kanzu au kufuga ndevu au kufanya vyote , ndevu ni kwa wanaume

Mkivaa hiyo mikanzu na mindevu yenu na kubinuka akili huwahama sana ndio maana mara nyingi huwa mnajilipua.
 
Back
Top Bottom