Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

Yehova hawezi jijengea kanisa na anataka fungu la kumi
Abdoool long time no see karibu sana
Jehovah haitaji nyumba kwa ajili ya ibada ndio maana watu wanasali kwenye mahema na maturubai.

Fungu la kumi ni sheria yake hivyo lazima ifuatwe, ila abdool Mungu wetu hatetewi wala hapiganiwi kama wenu.

Allah ana sifa zifuatazo kwa uchache
1. Kiziwi
2. Bubu
3. Hana nguvu
4. Mfarakanishi
 
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen

View attachment 2639739
Tena hiyo ndiyo safi kabisa, mradi tunakwenda kuhiji huku tunalindwa na mzungu, tatizo lako nini?

Wahenga walusema "mpe mchawi akulelee mwanao".
 
Abdoool long time no see karibu sana
Jehovah haitaji nyumba kwa ajili ya ibada ndio maana watu wanasali kwenye mahema na maturubai.

Fungu la kumi ni sheria yake hivyo lazima ifuatwe, ila abdool Mungu wetu hatetewi wala hapiganiwi kama wenu.

Allah ana sifa zifuatazo kwa uchache
1. Kiziwi
2. Bubu
3. Hana nguvu
4. Mfarakanishi

Qur'an 110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo. 110

111. Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa.
 
Qur'an 110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo. 110
Allah hana uwezo wa kujibu maombi yoyote maana yeye tu hana nguvu za kujitetea hadi mnamtetea ninyi tena kwa mikono yenu.

Mr's Abdool tafakari nikichoma kitabu chako mtanivamia na kunichoma moto ama kunipiga mpaka kufa au nikija masjid nikafanya yaliyokatazwa mtanifanya kitu kibaya sana lakini katika Ukristo hiyo ni neema nitaokelewa.

Andiko ni refu hata nikiliweka najua hautalisoma ila soma Zaburi ya 66 yote utaona namna gani Yehova ana nguvu za kutusaidia na kututetea wanae
 
Hao wanajua kujenga misikiti tu licha ya mzungu kuwasaidia kugundua mafuta na utajiri mwingi.
Sasa mbona ndo wanawalisha Hapo kenya? KENYA bila waisilamu ni Burundi iliochangamka tu.

Eastleigh pekee inahusika kwa 1/3 ya Pato La Nairobi,
 
Allah hana uwezo wa kujibu maombi yoyote maana yeye tu hana nguvu za kujitetea hadi mnamtetea ninyi tena kwa mikono yenu.

Mr's Abdool tafakari nikichoma kitabu chako mtanivamia na kunichoma moto ama kunipiga mpaka kufa au nikija masjid nikafanya yaliyokatazwa mtanifanya kitu kibaya sana lakini katika Ukristo hiyo ni neema nitaokelewa.

Andiko ni refu hata nikiliweka najua hautalisoma ila soma Zaburi ya 66 yote utaona namna gani Yehova ana nguvu za kutusaidia na kututetea wanae
Allah ndiye aliwezesha hilo lifanyike, kumbuka hilo.

Hafananishwi na chochote.
 
Tena hiyo ndiyo safi kabisa, mradi tunakwenda kuhiji huku tunalindwa na mzungu, tatizo lako nini?

hehehe safi sana bora wewe umekubali kuliko wavaa pedo wengine wote humu inawauma sana kusikia kafir katia kambi pale mecca kwa allah wenu wakati wenyewe husotoea ubwabwa Uswahilini hawajawahi kufika hiyo Mecca.
 
Sasa mbona ndo wanawalisha Hapo kenya? KENYA bila waisilamu ni Burundi iliochangamka tu.

Eastleigh pekee inahusika kwa 1/3 ya Pato La Nairobi,

Sijaelewa nini umeandika hapa, hili suala la kafir mzungu kukojolea hapo mecca linawaumiza sana.
 
hehehe safi sana bora wewe umekubali kuliko wavaa pedo wengine wote humu inawauma sana kusikia kafir katia kambi pale mecca kwa allah wenu wakati wenyewe husotoea ubwabwa Uswahilini hawajawahi kufika hiyo Mecca.
Sasa nibishane na sungura aliyezikosa zabibu akasema zile mbichi? 👇🏾

Jibu ni moja tu

USA pamoja na wenzie wa Ulaya ndio wamiliki wa hizo dini.

Hao ndio wamiliki wa ukristo kwa kupandikiza kitaifa cha kishetan pale middle east kiact kama taifa teule ili kuwapotosha watu kuhusu historia ya biblia kuwa manabii walikuwa na asili ya uarabuni+uzungun pia walikuwa watu weupe.

Pia walitumia hivyo hivyo uislam(tawi la ukatoric) kuitawala jamii ya waarabu pia kuwaaminisha watu kuhusu imani ya uslam kwa kupandikiza taifa la Saudia ndiomaana mataifa haya 1)israel+(2) saudi arabia zinalindwa sana na kuheshimika na Mataifa ya magharibi sababu ya maslahi ya kiimani na kiuchumi, huu ndio ukweli.

Hizo sehemu zilijengwa kimkakati sana na hazijawekwa kwa bahat mbaya, Hakuna taifa teule dunian wala hakuna Eneo teule dunian kwaajili ya ibada za Muumba wa kweli, bali kuna maeneo maalum yaliyojengwa kimkakati kwaajili ya ibada za kishetan(Macca, madina, yerusalem, Roma/italy) na mengineyo haya yote hutumika ktk ibada za kishetani tu, hakuna Mungu huko mnapoteza muda wenu, (waulizeni viongozi wenu wa kidini wa vyeo vya juu watawaambieni haya mambo)

Mambo mengi yanafanyika dunian lkn tunazugwa kwa vijisababu vya kijinga na uongo mwingi.

Ukristo na uislam ni zao moja la dini ya kishetani itakayokuja kuutawala ulimwengu baada ya kuwaaminisha watu uongo kwa muda mrefu.

MARK THIS, utakuja kukumbuka kukiwa kumeshakucha, amkeni jamani.
 
Uongo huo, mnatengeneza kila aina ya uongo, tunawafahamu.

Soma Qur'an inasemaje:

Qur'an 49:10
Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe.
Unaongeleaje kuhusu makafir kuilinda miji mitakatifu FaizaFoxy
 
Jibu ni moja tu

USA pamoja na wenzie wa Ulaya ndio wamiliki wa hizo dini.

Hao ndio wamiliki wa ukristo kwa kupandikiza kitaifa cha kishetan pale middle east kiact kama taifa teule ili kuwapotosha watu kuhusu historia ya biblia kuwa manabii walikuwa na asili ya uarabuni+uzungun pia walikuwa watu weupe.

Pia walitumia hivyo hivyo uislam(tawi la ukatoric) kuitawala jamii ya waarabu pia kuwaaminisha watu kuhusu imani ya uslam kwa kupandikiza taifa la Saudia ndiomaana mataifa haya 1)israel+(2) saudi arabia zinalindwa sana na kuheshimika na Mataifa ya magharibi sababu ya maslahi ya kiimani na kiuchumi, huu ndio ukweli.

Hizo sehemu zilijengwa kimkakati sana na hazijawekwa kwa bahat mbaya, Hakuna taifa teule dunian wala hakuna Eneo teule dunian kwaajili ya ibada za Muumba wa kweli, bali kuna maeneo maalum yaliyojengwa kimkakati kwaajili ya ibada za kishetan(Macca, madina, yerusalem, Roma/italy) na mengineyo haya yote hutumika ktk ibada za kishetani tu, hakuna Mungu huko mnapoteza muda wenu, (waulizeni viongozi wenu wa kidini wa vyeo vya juu watawaambieni haya mambo)

Mambo mengi yanafanyika dunian lkn tunazugwa kwa vijisababu vya kijinga na uongo mwingi.

Ukristo na uislam ni zao moja la dini ya kishetani itakayokuja kuutawala ulimwengu baada ya kuwaaminisha watu uongo kwa muda mrefu.

MARK THIS, utakuja kukumbuka kukiwa kumeshakucha, amkeni jamani.
Duuh faizafoxy hapa tumetandikwa wote, maoni yako tafadhali
 
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Ndiyo maana siku hizi tunaona wazungu wengi wakiwa Waislaam, au siyo? 👇🏾

Sasa nibishane na sungura aliyezikosa zabibu akasema zile mbichi? 👇🏾

Ndio ukae ukijua hao miungu yenu isingekua kwa mzungu yangekua hovyo sana, kafir mzungu ananyea na kukojoa hapo mecca na kupalinda maana pana mafuta aliyogundua kwa akili yake.
Mlalahoi uswahilini huko mpaka unakufa hautafika hapo, japo niliskia eti yule babu yenu mwarabu mudy alishatoa kama amri kila mvaa pedo kabla kufa lazima ahakikishe amefika hapo kupiga shetani kwa mawe.....hehehe
 
Heshimu dini za watu kijana
 
Heshimu dini za watu kijana

Dini ikitulia ifanye mambo yake bila kuzingua watu wala hautaskia tukiisema, kwa mfano mabudha na wahindu wanafanya yao huko na huskii mtu akitoa tamko kuwahusu, ila hii yenu mara mtulipukie mabomu, mara mchinje watu kuwalazimisha waabudu hicho mnachokiabudu, hamtulii mfanye yenu.

Vaa mikanzu yako, ota mindevu, binuka binuka utakavyo ila yafanye bila kulazimisha wengine au kufanya fujo au mauaji, tutakuheshimu wewe na mambo yako na hautaskia ukisemwa.
 
Mimi sio mvaa kobazi dogo
 
Back
Top Bottom