Kwanini mikoa hii minne (4) hutajwa sana katika matangazo mbalimbali ya biashara kwenye redio na runinga?

Kwanini mikoa hii minne (4) hutajwa sana katika matangazo mbalimbali ya biashara kwenye redio na runinga?

Ututolee vurugu ndio maana samaki waliwakimbia wakahamia bukoba, mtama mwekundu mbegu watu waliiba kwa sasa unapandwa na kustawi singida, hamna jipya mtulie tu mmebaki mnamiliki sauti za kufoka na besi, kama mbegu za mtama mliibiwa mna nini tena
Mtani yaani Nimecheka mpaka basi.
 
1. Dar es Salaam

2. Arusha

3. Mwanza

4. Mbeya

Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara?

Ila ninachofurahi hata mikoa ya watani zangu wakubwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi nayo pia haimo na ningeshangaa sana kusikia kama na yenyewe ingetajwa (ingekuwepo) kwani ni mikoa ya watu masikini na washamba tupu, ila wakija mkoani Mara ndiyo huja kutajirika na kujanjaruka.

Watani mpo?
Nisaidie mkuu. Hivi makabila ya mkoa wa Mara yanautani na Wanyamwezi? Hilo nalisikia leo kutoka kwako !!!
 
Mkuu mbeya inabidi wasemwe kidogo bhana, kuna fursa nyingi sana za kiuchumi lakn speed yao ya kukua kiuchumi ndani ya hilo jiji ni ya mwendo wa kobe. Mbeya kuna kilimo kikubwa cha mazao mengi, kuna madini, kuna zaidi ya border moja, utitili wa biashara nyingi na wafanya biashara wengi wakubwa na wadogo. Lakn speed ni ndogo sana. Nawaza sijua mbeya ingekua wap kama ingekua mkoa mwenyej wa wachaga na wakinga pekee.
 
Wachaga kwao fursa ni chache ndio maana wamekimbia kwao wanarudi kujenga nankupaendeleza, wachaga wako Dar, Arusha na Mwanza kwa wingi japo mikoa yote wapo, na mchaga ana jicho la kuona fursa kwa mbeya naona wakinga kibiashara wametakeover ndio wanapachangamsha, mwanza mkurya, msukuma, mchaga na muha wanapambana kupita maelezo, lakini mbeya fursa zipo za kutosha sana basi ni vile watu hawajastuka, japo machimboni wachimbaji wadogo wengi ni wasukuma maana ndio wanaifahamu dhahabu, mbeya hutokuja kusikia njaa pana kila kitu,
 
Dar, ndio inabeba mikoa yote Tanzania kibiashara
Mbeya inaibeba base ya biashara ya mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini
Dodoma ilikua base ya kanda ya kati lakini kwa sasa ina kasi kubwa inahold nchi nzima
Mwanza ni base ya kanda ya ziwa na kanda ya magharibi
Arusha ni base ya kaskazini.
 
Back
Top Bottom