GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Mtani yaani Nimecheka mpaka basi.Ututolee vurugu ndio maana samaki waliwakimbia wakahamia bukoba, mtama mwekundu mbegu watu waliiba kwa sasa unapandwa na kustawi singida, hamna jipya mtulie tu mmebaki mnamiliki sauti za kufoka na besi, kama mbegu za mtama mliibiwa mna nini tena
Hapa saivi kila kabila lipo hapa hao wagogo na warangi wamekimbilia porini huko
Nisaidie mkuu. Hivi makabila ya mkoa wa Mara yanautani na Wanyamwezi? Hilo nalisikia leo kutoka kwako !!!1. Dar es Salaam
2. Arusha
3. Mwanza
4. Mbeya
Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara?
Ila ninachofurahi hata mikoa ya watani zangu wakubwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi nayo pia haimo na ningeshangaa sana kusikia kama na yenyewe ingetajwa (ingekuwepo) kwani ni mikoa ya watu masikini na washamba tupu, ila wakija mkoani Mara ndiyo huja kutajirika na kujanjaruka.
Watani mpo?
Langu za Zanaki tuna Utani nao Mkuu.Nisaidie mkuu. Hivi makabila ya mkoa wa Mara yanautani na Wanyamwezi? Hilo nalisikia leo kutoka kwako !!!
Na baadhi wako pia katika Visiwa vya Jirani / Karibu na Mkoa wetu ( wangu ) wa Mara ( Musoma ) Mkuu.Nadhani Wakara wako Mwanza
Nadhani Wakara wako Mwanza
Mkuu mbeya inabidi wasemwe kidogo bhana, kuna fursa nyingi sana za kiuchumi lakn speed yao ya kukua kiuchumi ndani ya hilo jiji ni ya mwendo wa kobe. Mbeya kuna kilimo kikubwa cha mazao mengi, kuna madini, kuna zaidi ya border moja, utitili wa biashara nyingi na wafanya biashara wengi wakubwa na wadogo. Lakn speed ni ndogo sana. Nawaza sijua mbeya ingekua wap kama ingekua mkoa mwenyej wa wachaga na wakinga pekee.