Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi?

Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana uelewa sana kuhusu ukimwi?

Au kwao ngono si kipaumbele chao kama mikoa mingine kila mwaka ni Njombe,Iringa na mbeya ndiyo zinatia fora na tunajua huku watu gani wame dominate

Tutafakari wote tujue sababu ni ipi?

 
Ni
Nimeuliza kwanini mikoa ambayo waislamu ni wengi kuna idadi ndogo ya maambukizi ya ukimwi?
Kuna mwingine atakuja na swali namna kama ya la kwako pia utatoa macho, mfano :hivi hiyo mikoa ndio ile ya wale wadada wanacheza kwa kukalia chupa ? Unaona sasa.🤔🤔
 
Reactions: qwt
Hiyo mikoa uliyotaja hawaamini mambo ya hospitali wanaamini katika tiba za asili hivyo hawahudhurii sana vipimo vya hospitali na tiba za hospitali. Na kama wewe si muumini wa tiba za hospitali hatuwezi tukapata data zako kama unaumwa au la! Hiyo mikoa yenye Ina idadi kubwa ya maambukizi sio kwamba wanaambukizana sana kuliko mikoa yote Bali Wana uelewa mkubwa wa tiba za hospitali na wanazitumia ndo maana tunaweza kupata data zao
 
Ingekuwa vzri kama hungeweka kumi Bora ya hyo mikoa ili tuone mikoa ipi Ina waislam wengi na ipo kwenye hyo orodha ndo tuendelee na mjadala
 
Mkuu unataka uislam utukanwe na hawa wayaudi wa tandale kwa tumbo!
 
Wana kaza kwenye ishu ya maadili.Hata wasimbe huko ni wachache
 
Huu uchokozi!
Umefanya research lini??
 
Ingekuwa vzri kama hungeweka kumi Bora ya hyo mikoa ili tuone mikoa ipi Ina waislam wengi na ipo kwenye hyo orodha ndo tuendelee na mjadala
.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-05-12-44-54-884_com.twitter.android.jpg
    282.7 KB · Views: 13
post zako nyingi ni ukabila na udini kua na mentality za kijingajinga imeka jadi yako
 
Hiyo hapo
Ingekuwa vzri kama hungeweka kumi Bora ya hyo mikoa ili tuone mikoa ipi Ina waislam wengi na ipo kwenye hyo orodha ndo tuendelee na mjadala
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-05-12-44-54-884_com.twitter.android.jpg
    282.7 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…