Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

Itakua kwasababu ya pombe.
 
Chaiiiii
 
manyara ina asilimia ngapi
 
Kwa sababu mikoa hiyo wajumbe wa CCMni wachache,Kuna CUF zaidi.
 

Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 3
Na kwa nini sehemu yenye idadi kubwa ya ccm wamefikia steji ya kwenda mirembe.
 
Mikoa yenye baridi ndio inaongoza Kwa maambukizi Sio habari ya dini
 
Huu ndio ukweli.
 
Hata Lushoto,Mlalo,Bumburi,kuna baridi sana.Lakini kuna waislamu wengi,na maambukizi ni machache.
 
Sasa hpo husiseme et Haina waislam wengi ila hyo maeneo Yana baridi Sana ndo maana watu wanafanya Sana hilo tendo,kwahyo shda sio ukristo shda n hali ya hewa,
Lushoto,Mlalo,,Mlola,Bumburi kuna baridi sana,na waislamu wengi,maambukizi ni machache.
 
Sasa hpo husiseme et Haina waislam wengi ila hyo maeneo Yana baridi Sana ndo maana watu wanafanya Sana hilo tendo,kwahyo shda sio ukristo shda n hali ya hewa,
Hapana issues kubwa ni utamaduni wa tohara umechangia sana urahasi wa maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…