Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa

View attachment 3363072
Zinakula bando sana!
 
Sisi tuko na No Reforms no Election.

Jali maisha ya watu kwanza, wasitekwe, wasiuawe na wapewe uhuru wa kufikiri.
 
Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa

View attachment 3363072

NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom