Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072

SABABU UNAANDIKA PUMBA NA WATU WAMEGUNDUA DISH LIMEYUMBA. MI NAKUAMBIA ILI UGUNDUE HII YAKO YA NITOKE VIPI IMEBUMA.
 
Uko vizuri. Never give up 💪
 
Kulikoni makasiriko tena ndugu wakati hashurutishwi mtu ikiwamo kutotumia keyboard kama mwanzo au vinginevyo?
Sio makasiriko ndo ukweli mwisho tuna vizazi vya watoto na baadae watu wazima wanaogopa kufanya mambo sababu wakijaribu tu wataanza ambiwa mara huyu ni deo kisandu mpya, wanakatishwa tamaa uzuri mmoja mimi nimeshavuka huko
 
Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072
Muheshimiwa Rais SHUGHURU ifike mahali tukwambie tu ukweli kwamba waga una andika pumba

Ukiona watu wana ku ghost wewe wa ghost mala 2 mbona ni simple Muheshimiwa Rais ww sio wa kulilia engagements jf Muheshimiwa

humu Ata Rais na mawaziri wapo ila hawapo serious
 
Tumekuelewa muda mrefu sana shida siyo wewe Wala sisi.
Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072
 
SABABU UNAANDIKA PUMBA NA WATU WAMEGUNDUA DISH LIMEYUMBA. MI NAKUAMBIA ILI UGUNDUE HII YAKO YA NITOKE VIPI IMEBUMA.
Upeo mdogo sio kosa lako
Bali soma hii itakusaidia
👇👇👇👇👇👇
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke
 
Sio makasiriko ndo ukweli mwisho tuna vizazi vya watoto na baadae watu wazima wanaogopa kufanya mambo sababu wakijaribu tu wataanza ambiwa mara huyu ni deo kisandu mpya, wanakatishwa tamaa uzuri mmoja mimi nimeshavuka huko

Wewe hukuwasikia wale wana maombi waliokwenda JKNIA na wazo la kusafiri kwenda Ulaya na Marekani, bila viza wala ticket?

Si kila wazo hata la teja au mvuta bangi kuwa ni la kuendekeza!
 
Ndo maana nikasema kwa mtizamo wangu na kwa observation niliyoifanya
Naamini utajifunza kitu hapo....

Unajua unachokijua, wekeza zaidi kwenye kujua watu wanajua nini kwenye unachowapa,wana mtizamo gani,wanahotaji nini kwenye mazingira ya sasa (Information era)?

In other words maneno yakukuongoza yawe WHAT?WHY?HOW?

Majibu yako pekee hayatakutendea haki,u nid people kujibu baadhi ya maswali.
 
Back
Top Bottom