Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Sisi tuko na No Reforms no Election.

Jali maisha ya watu kwanza, wasitekwe, wasiuawe na wapewe uhuru wa kufikiri.
kama Bi Umbea kasitisha Umbea hadi kieleweke kama kuna uchaguzi au kutikisa viuno Octoba

basi kwanza tuachane na mengine tuendelee kwanza na #NoReformsNoElection

Baada ya Octoba tutakurejea wewe na nyuzi zako
 
Muheshimiwa Rais SHUGHURU ifike mahali tukwambie tu ukweli kwamba waga una andika pumba

Ukiona watu wana ku ghost wewe wa ghost mala 2 mbona ni simple Muheshimiwa Rais ww sio wa kulilia engagements jf Muheshimiwa

humu Ata Rais na mawaziri wapo ila hawapo serious
Nikawaida kusikia mtu na wengine kama wewe kusema naandika pumba uzuri mmoja mimi nimeshavuka kwenye hilo gereza la fikra
 
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072
Watu wana commet kwa kujuana!!
 
We bwana. Jifunze kuandika mkuu.

Ukiwa na mabandiko mazuri yanayochechemua, engagement lazima utapata tu

Em kaa na Lucas Mwashambwa akupe notes
Siwezi pata sababu wengi wa watu huku wanaakili ndogo siwadharau bali ndo ukweli
Nenda kwenye nyuzi za kula tenda kimasihara zina-engegement kubwa

Angalia nyuzi nyingi za jamiiforums ambazo zina-engagement kubwa ni zile zenye mada za kipuuzi na kijinga
 
Labda kwasababu umefanana na Generali Mohoozi Kaenerugaba mtoto wa museveni wa uganda
 
Siwezi pata sababu wengi wa watu huku wanaakili ndogo siwadharau bali ndo ukweli
Nenda kwenye nyuzi za kula tenda kimasihara zina-engegement kubwa

Angalia nyuzi nyingi za jamiiforums ambazo zina-engagement kubwa ni zile zenye mada za kipuuzi na kijinga
Unatafuta nini kwa watu wenye akili ndogo??

Shobo tu ebu tutokee apa na ayo ma video yako peleka tiktok
 
akili yako ni ndogo sana ndio maana nimekwambia tafuta shughuli ya kufanya achana na hizo porojo unazopiga..

unatafuta attention kama msichana let say umepewa engagement ehh then what?
Unataka wote humu tutumie majina fake kama wewe
Ulishawahi jiuliza kwanini jamiiforums wameweka sehemu ya attachment
 
Back
Top Bottom