Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072

NDO MAANA UZI UMEWEKWA KWENYE CHIT CHAT NA JOKES. SABABU WANAONA NI UZI WA VICHEKESHO SIYO SERIOUS. HILO TU LILIPASWA KUKUONESHA KUWA UMEDHARAULIKA NA WANAKUONA HUNA AKILI
 
Pombe tena😆😆😆 tafuta kazi ya kufanya na wewe upate pesa za pombe , mimi nalewa kwa pesa kijana , sio kwamba kuna mahali kuna mabomba ya pombe za bure
Ulikuwa unalalamika pombe zinakutesa yaani mara hii tu umesahau
 
Mangi, ukiwa na ndoto za kuwa raising uanze chini, kupitia chama kwanza ugonbee hata uongozi wa chama

Pili ugombee nafasi za uongozi nchini hata kuwa kiongozi wa serikali ya mtaa

Hujagundua watu waliofika kuwa raisi wamepitia viti mbalimbali

Ila naona kama unafurahisa genge napoteza ushauri wangu.
 
Tanzania inajitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra ni basi tu huwezi nielewa ila utanielewa uko baadae

Kwenye vyama watu wako gerezani huwezi nielewa ila ndo uhalisia
 
Hahahaha tafuta pesa na kazi ya maana upate pesa unywe pombe na wewe, raisi kiazi sana sana , unachambana na wapiga kura hauna adabu,gademiiit
Umeona sasa umekimbilia kwenye pesa kwani ni wapi nimekutambia kwamba nina fedha au nina shida ya fedha

Mimi huwezi nikuta kwenye hizo ligi za kitoto
 
😆😆 tafuta kazi ya kukuweka bize , wewe unadai ni tajiri na akili dunia nzima kwa karne 100 , unapiga domo tu unafikiri pesa zinakuja through osmosis?
 
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072
dennis robert shughuru nimekusikiliza na nimekusoma.. Naomba tu kwamba hata mtazamo wako una walakini mkubwa kwakuwa unadhani unajua zaidi kuhusu sisi na kwakweli umejua kutukejeli, kutudhihaki na kututukana pia
Kingine nilichoona ni kwamba huna ufahamu wa kutosha na JF kwakuwa JF haina jukwaa moja tu la siasa ambalo ndilo umelitumia kujenga hoja zako
Umezungumza mengi lakini haukuweza kujenga ama kupangilia hoja zako kwa usahihi. Na hili pengine ndo maana wanakuita kichaa

Kupata engagement.. Hiyo ni very primary stage... Unatakiwa kutoka huko.. Unatakiwa kuangalia mada yako imesomwa na wangapi kwakuwa hizo enga sometimes hazina maana yoyoye zaidi ya wachangiaji kufanya chitchat

Nina makumi ya mada ambayo ni kama hayana uchangiaji kaniba lakini siachi kupost kwakuwa kila nikiangalia kuna ongezeko la wasomaji
Kwa uzoefu wangu JF wasomaji ambao ni wageni (wasio na ID ) ndio wengi na ndio wanaongoza kusoma mada mbalimbali
Hivyo nakushauri usikate tamaa wala kututusi na kutukebehi tena.. Wewe endelea kupost kuna siku utapata engagement mpaka utashangaa
Usiendelee kutukashifu kwakuwa maandishi hayafutiki na watu wa humu ni mabingwa wa kutunza kumbukumbu.. HAWASAHAU.. Heshimu tu kila mmoja maana hujui kesho utahitaji nini na kwa nani
Kumbuka kesho ni kubwa kuliko Leo. Hasa kwa wenye ndoto kubwa kama wewe🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
dennis robert shughuru nimekusikiliza na nimekusoma.. Naomba tu kwamba hata mtazamo wako una walakini mkubwa kwakuwa unadhani unajua zaidi kuhusu sisi na kwakweli umejua kutukejeli, kutudhihaki na kututukana pia
Kingine nilichoona ni kwamba huna ufahamu wa kutosha na JF kwakuwa JF haina jukwaa moja tu la siasa ambalo ndilo umelitumia kujenga hoja zako
Umezungumza mengi lakini haukuweza kujenga ama kupangilia hoja zako kwa usahihi. Na hili pengine ndo maana wanakuita kichaa

Kupata engagement.. Hiyo ni very primary stage... Unatakiwa kutoka huko.. Unatakiwa kuangalia mada yako imesomwa na wangapi kwakuwa hizo enga sometimes hazina maana yoyoye zaidi ya wachangiaji kufanya chitchat

Nina makumi ya mada ambayo ni kama hayana uchangiaji kaniba lakini siachi kupost kwakuwa kila nikiangalia kuna ongezeko la wasomaji
Kwa uzoefu wangu JF wasomaji ambao ni wageni (wasio na ID ) ndio wengi na ndio wanaongoza kusoma mada mbalimbali
Hivyo nakushauri usikate tamaa wala kututusi na kutukebehi tena.. Wewe endelea kupost kuna siku utapata engagement mpaka utashangaa
Vipaumbele vya watanzania ni kama vifuatavyo
Umbea
Ushabiki wa Simba na Yanga

Nimeongea ukweli ambao watu wengi hawatapenda bali ndo ukweli lengo ni kutibu jamii yetu
 
Back
Top Bottom