min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Achamba wapiga kura wake no reform no electionMheshimiwa hataki kukosolewa itakua anacopy 😂😂😂 inabidi tumdai katiba mpya mapema sana
Achamba wapiga kura wake no reform no electionMheshimiwa hataki kukosolewa itakua anacopy 😂😂😂 inabidi tumdai katiba mpya mapema sana
"Please i will take you with me and leave you" 😁Achamba wapiga kura wake no reform no election
We jamaa hutoboi kwa mawaz hay bado sana. Kafungue duka la ujenzTanzania inajitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra ni basi tu huwezi nielewa ila utanielewa uko baadae
Kwenye vyama watu wako gerezani huwezi nielewa ila ndo uhalisia
Mangi, huyu mchaga wa wapi anafeli?Achamba wapiga kura wake no reform no election
Kumbe ni mchaga🤣🤣🤣🤣Mangi, huyu mchaga wa wapi anafeli?
Heeee kumbe ni kesi ya familia 😂😂😂Kumbe ni mchaga🤣🤣🤣🤣
Hakuna mchaga hapa , tangu lini mchaga aangaike na hadithi zisizo na kichwa wala miguu na haulipwi hata mia?Heeee kumbe ni kesi ya familia 😂😂😂
Ni mchaga wa Moshi huko, kijijin sanaKumbe ni mchaga🤣🤣🤣🤣
Huwezi nielewa sababu fikra zako zipo gerezaniWe jamaa hutoboi kwa mawaz hay bado sana. Kafungue duka la ujenz
Eee ndio 😂😂,.Wajumbe wanataka takrima 😂😂
Pokea ushauriHuwezi nielewa sababu fikra zako zipo gerezani
Watu wamechoka na hawana tumaini hivyo hizo engagement huwafanya wapunguze stressSio inclusion moja dhaifu sana ndo ukweli angalia mada/nyuzi ambazo zinapata engagement kubwa hapa jamii Forum utakubaliana na mimi
Anzisha uzi "elimu ya kilimo" na mtu mwingine aanzishe uzi wa "jana nilimkojoza mwanamke wangu" angalia ni upi utapata engagement kubwa
Ni lazima tuongee ukweli ili tuiponye jamii yetu kukaa kimya ni kubaya sana
Unajua uandishi ni sanaa ukiikosea itakupa matokeo hasiSio kwamba tuna mwita kichaa , japo anaweza kuwa na madini ila lazima pia anayo shida ya akilini
Duh😂😂😂Ndio wewe unafananishwa uandishi wako na Deo Kisandu?
Mimi hata muungane wote jamiiforums mniite kichaa ntaendelea kusimamia kile nacho aminiUnajua uandishi ni sanaa ukiikosea itakupa matokeo hasi
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi"Please i will take you with me and leave you" 😁
Dennis Robert Shughuru leo uzi wako umepata engagement la kutosha.Mimi hata muungane wote jamiiforums mniite kichaa ntaendelea kusimamia kile nacho amini
Katika mambo ambayo siogopi ni matusi na dhihaka
Ni wazi watu hawataki kutoka sehemu waliopoWatu wamechoka na hawana tumaini hivyo hizo engagement huwafanya wapunguze stress