Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

dennis robert shughuru nimekusikiliza na nimekusoma.. Naomba tu kwamba hata mtazamo wako una walakini mkubwa kwakuwa unadhani unajua zaidi kuhusu sisi na kwakweli umejua kutukejeli, kutudhihaki na kututukana pia
Kingine nilichoona ni kwamba huna ufahamu wa kutosha na JF kwakuwa JF haina jukwaa moja tu la siasa ambalo ndilo umelitumia kujenga hoja zako
Umezungumza mengi lakini haukuweza kujenga ama kupangilia hoja zako kwa usahihi. Na hili pengine ndo maana wanakuita kichaa

Kupata engagement.. Hiyo ni very primary stage... Unatakiwa kutoka huko.. Unatakiwa kuangalia mada yako imesomwa na wangapi kwakuwa hizo enga sometimes hazina maana yoyoye zaidi ya wachangiaji kufanya chitchat

Nina makumi ya mada ambayo ni kama hayana uchangiaji kaniba lakini siachi kupost kwakuwa kila nikiangalia kuna ongezeko la wasomaji
Kwa uzoefu wangu JF wasomaji ambao ni wageni (wasio na ID ) ndio wengi na ndio wanaongoza kusoma mada mbalimbali
Hivyo nakushauri usikate tamaa wala kututusi na kutukebehi tena.. Wewe endelea kupost kuna siku utapata engagement mpaka utashangaa
Sio kwamba tuna mwita kichaa , japo anaweza kuwa na madini ila lazima pia anayo shida ya akilini
 
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072
Tatizo la afya ya akili limekua changamoto sana wana JF na serikali na jamii kiujumla inatakiwa liingilie kati hili swala lako
 
Umefanya inclusion Moja dhaifu sana
Sio inclusion moja dhaifu sana ndo ukweli angalia mada/nyuzi ambazo zinapata engagement kubwa hapa jamii Forum utakubaliana na mimi

Anzisha uzi "elimu ya kilimo" na mtu mwingine aanzishe uzi wa "jana nilimkojoza mwanamke wangu" angalia ni upi utapata engagement kubwa

Ni lazima tuongee ukweli ili tuiponye jamii yetu kukaa kimya ni kubaya sana
 
President Shughuru for life aisee. Mkombozi wa nchi yetu keshapatikana. 2030 ni Shughuru tu hakuna mwingine.

Ushauri: Rais Shughuru apunguze ujuaji na aruhusu watu watoe mawazo yao kuhusu sera zake kombozi kwa uhuru. Na akubali kubadili baadhi ya sera na misimamo yake ili kuendana na matakwa ya anaotaka kuwaongoza. Tena apunguze kujibizana shombo na wale wote wanaombeza na kumuona kuwa eti dishi limeyumba na hata kumbatiza uDon Nalimison Kisandu.

Au unasemaje semaji kuu la rais mtarajiwa Dennis Roberts Shughuru Evelyn Salt?

#ShughuruForPresident2030
Mwigulu asiione hii comment.. itamuuma sana. Yaanu Shughuru anaingia Ikulu bila kutumia nguvu wala hela.
 
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke

Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
  • Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
  • Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
  • Jamii yetu inapenda kudiscuss sana matukio na sio issues zenye maslai mapana ya nchi ndo maana yule dada wa marekani amekuwa billionaires kwa sababu ya umbea anafanya jambo ambalo watanzania wanapenda
  • Watanzania wanaamini kuna mda yuko mahali answapigania ndo maana asilimia 90 ya nyuzi zenye engagement kubwa ni za kulalamika, na kukosoa ni chache sana zinazokuja na suluhisho la changamoto kama nchi

View attachment 3363072
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nyuzi kama haipondi Serikali huwezi pata replies nyingi.

Uzi kama unajadili mambo ya Maendeleo huwezi pata replies

Mwisho,hata kuweka na replies nyingi au kidogo haiongezi pesa kwako so relax.
 
mbona huu uzi wako umepata engagement kubwa.
labda hapo mwanzo nyuzi zako zilikuwa hazikongi mioyo ya wanaJf.

kingine, Jitahidi kupata usingizi wa kutosha kati ya masaa 8 - 10 kwa siku.
kula vizuri na uepuke mabishano au watu wanaokuudhi.

utafika mbali kwa kuwa wewe ni mtu mwenye maono makubwa
 
President Shughuru for life aisee. Mkombozi wa nchi yetu keshapatikana. 2030 ni Shughuru tu hakuna mwingine.

Ushauri: Rais Shughuru apunguze ujuaji na aruhusu watu watoe mawazo yao kuhusu sera zake kombozi kwa uhuru. Na akubali kubadili baadhi ya sera na misimamo yake ili kuendana na matakwa ya anaotaka kuwaongoza. Tena apunguze kujibizana shombo na wale wote wanaombeza na kumuona kuwa eti dishi limeyumba na hata kumbatiza uDon Nalimison Kisandu.

Au unasemaje semaji kuu la rais mtarajiwa Dennis Roberts Shughuru Evelyn Salt?

#ShughuruForPresident2030
Mheshimiwa hataki kukosolewa itakua anacopy 😂😂😂 inabidi tumdai katiba mpya mapema sana
 
Back
Top Bottom