Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

Mheshimiwa tuko pamoja, mbona una wafuasi wengi tu.....na tuna imani sana na wewe kuwa utatuvusha

Evelyn Salt
Castle_Lite
Shimba ya Buyenze
min -me
Mnyenz
Dr am 4 real PhD
Hawa wote ni wapiga kura wako
President Shughuru for life aisee. Mkombozi wa nchi yetu keshapatikana. 2030 ni Shughuru tu hakuna mwingine.

Ushauri: Rais Shughuru apunguze ujuaji na aruhusu watu watoe mawazo yao kuhusu sera zake kombozi kwa uhuru. Na akubali kubadili baadhi ya sera na misimamo yake ili kuendana na matakwa ya anaotaka kuwaongoza. Tena apunguze kujibizana shombo na wale wote wanaombeza na kumuona kuwa eti dishi limeyumba na hata kumbatiza uDon Nalimison Kisandu.

Au unasemaje semaji kuu la rais mtarajiwa Dennis Roberts Shughuru Evelyn Salt?

#ShughuruForPresident2030
 
Nyuzi zako hazielezi ni mikakati gani unaiweka ili upate hicho kiti cha uraisi, unaelezea ndoto ya kuwa raisi, sasa hiyo ndoto wengi wanayo kila mmoja ukimuuliza atasema ningekuwa raisi ningefanya moja mbili tatu, kwa tume hii, vyombo vya dola na mfumo wa uchaguzi huo uraisi unaupataje? Eleza kwa mifano kwa kutumia riwaya mbili ulizosoma
 
Back
Top Bottom