Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Zinakula bando sana!Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
- Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
- Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
View attachment 3363072
Sisi tuko na No Reforms no Election.Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
- Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
- Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
View attachment 3363072
HahahahMheshimiwa tuko pamoja, mbona una wafuasi wengi tu.....na tuna imani sana na wewe kuwa utatuvusha
Evelyn Salt
Castle_Lite
Shimba ya Buyenze
min -me
Hawa wote ni wapiga kura wako
Mbunge wa wapi huyu?!!Mheshimiwa tuko pamoja, mbona una wafuasi wengi tu.....na tuna imani sana na wewe kuwa utatuvusha
Evelyn Salt
Castle_Lite
Shimba ya Buyenze
min -me
Hawa wote ni wapiga kura wako
Sio mbunge, anataka kuja kugombea urais Tz ubunge ni nafasi ndogo sana kwake......Mbunge wa wapi huyu?!!
Uko nyuma ya keyboard unadai no Reforms Reforms no election nyuma ya keyboardSisi tuko na No Reforms no Election.
Jali maisha ya watu kwanza, wasitekwe, wasiuawe na wapewe uhuru wa kufikiri.
umecheka kama unatapika😆Buahahah 😀 😀 😀 😀
Vichwa viko overloded
Mimi sio mbungeMbunge wa wapi huyu?!!
Pamoja sanaUmeongea point sana mwanangu.
Leo akili yako nimeielewa.
Have my vote!!!
View: https://youtu.be/HaYM2KwMXXc?si=nwRgPJRCOrUUEJ2i
Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye video
- Nyuzi zangu hazijajikita kwenye siasa oya oya, siasa za kupiga debe au za kufuata mkumbo ndo maana sijapati engagement
- Kutokana na kuna kundi kubwa la watu fikra zao zipo gerezani basi inawawia vigumu sana kunielewa
View attachment 3363072
Pamoja sanaMheshimiwa tuko pamoja, mbona una wafuasi wengi tu.....na tuna imani sana na wewe kuwa utatuvusha
Evelyn Salt
Castle_Lite
Shimba ya Buyenze
min -me
Mnyenz
Hawa wote ni wapiga kura wako
Jamiiforums wanaruhusu video ndo maana wameweka sehemu ya attachmentsSasa ma video ya nini
Usipate tabu Mheshimiwa, wasemaji wako tupo, tutakusemea.....we endelea kutupa sera zako tu video za GB 10.Mimi sio mbunge
Nina nyuzi karibia 40 na zinaongezeka na zimeelezea maono niliyokuwa nayo juu ya nchi hiiMh Dennis Robert Shughuru ukiwa rais, utafanya nini sasa kuwakomboa watanzania kutoka katika hiyo jela ya kifikra?
(Maelezo kwa video itapendeza)