Kwanini miradi aliyofanywa na Hayati Magufuli wanasema ni ya Awamu ya nne?

Mimi sijauwa mtu wala kumuibia mtu . Kufa Hakuna atayebaki. Hilo jiwe lenu lilifikiri Si jiwe ni jabali lakini yuko mtetezi wa wanyonge .
Uwe msafi , uwe mwema kuliko wote duniani utakufa kama vile anavyokufa mtenda dhambi n'a wote mtaoza.

Ishi unavyoweza, wema hautazuia kifo chako.
 
Hiyo ni kazi ya January makamba na nape kupotosha kila kitu na kumdhaliisha mheshimiwa aliyetangulia mbele ya haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Jagina mwambie akutajie Rais manage hajawahi kuua mtu, kisha atuambie anadhibitishaje kuwa hakuwahi kuua?
 
Hahahaaaa kwahiyo na wewe siku ukifa utakuwa umekufa kwasababu ya maombi ya watu uliowakosea? Hivi huu ujinga huwa mnaoutoa wapi?[emoji28]

Wewe hâta uwe mwema mithiri ya malaika hapa duniani, kufa utakufa tu kwasababu ni asili yako na hauwezi kuikimbia.

Hakuna namna ambayo mtu mwenye akili timamu anaweza kukubali kuwa Mungu huua mtu fulani kwakua binadamu wenzie wametaka, unless awe kichwa maji kama wewe.
 
Magufuli alikua Rais awamu ya nne.
 
Mimi sina shaka na utendaji wa waziri Magufuli au Raisi Magufuli.
Tunatambua mchango wake kwa kusimamia miradi mbalimbali.
Lakini tusibweteke na misifa,kwani wapo waliofanya makubwa na mambo mazito kuliko Mjomba Magu.
1.Hakuna Raisi alimimina viwanda kama Raisi Nyerere. Tena sio viwanda mandazi viwanda vingine heavy vyakuajiri hadi watu zaidi 10,000.Alijenga viwanda heavy industries zaidi ya 400.
2.Raisi Nyerere alijenga reli ya TAZARA chini ya miaka 5,harafu akajenga karakana kubwa kuliko karakana yoyote Sub-Saharan iliokuwa inaitwa Mangula Mechanical Tools(MMT)
3.Wakati wa Nyerere alijenga Refinery Kigamboni iliokuwa inaitwa TIPER
4.Raisi Nyerere alijenga mabwawa ya kuzalisha umeme ambayo ni Kidatu,Mtera na Kihansi pia na Nyumba ya Mungu.
5.Raisi Nyerere alijua dhana ya kujitegemea akajenga kiwanda kikubwa cha zana za kilimo kilichokuwa Ubungo UFI
6.Raisi Nyerere alijenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea huko Tanga .
7.Ilipovunjika shirikisho la Afrika Mashariki Raisi Nyerere alianzisha shirika la ndege la taifa Air Tanzania ATC,alinunua ndege 8 kwa mpigo zikiwemo Boeing 737 ndege 2,Folker Friendship 2,Twin Otter n.k
8.Raisi Nyerere alijenga viwanda vikubwa vya kubangulia korosho zaidi ya vitano ukanda wa pwani.
9.Raisi Nyerere kama baba mpigania uhuru nchi mbali mbali.Alifanya Tanzania ikawa donor country wa kuzikomboa sio wa maneno tu, nchi nyingi haswa kusini mwa Afrika ikiwemo South Africa, Mozambique, Angola, Zimbabwe,Namibia, Guinea Bissau.
10.Huko maziwa ya Victoria alijenga meli mpya na cheleo, meli za abiria na mizigo kama MV,Bukoba,Butiama,Serengeti.n.k
Pia Alifufua Meli ya abiria Liemba,akajenga meli ya mafuta Sangara meli ya abiria Mwengozo
 
Hata waseme nini. Jiwe hana mfano. Wanahangaika kufuta legacy yake iliofurahisha Afrika nzima.
Waangalie kinachoendelea sasa.
Ni uchafu alioukuta Jiwe akaufagilia mbali. Wamepata nafasi ya kuurudisha na wanasema hadharani bila woga kuwa waibe bila kuvimbiwa?!
Mafisadi wakubwa….
 
Kwa sababu ndyo ukweli mwenyew
 
Uwe msafi , uwe mwema kuliko wote duniani utakufa kama vile anavyokufa mtenda dhambi n'a wote mtaoza.

Ishi unavyoweza, wema hautazuia kifo chako.
Wewe uliye mchafu hautakufa endelea tu Na uchafu wako utaishi milele ,au vipi ?
 
Kwenye swala la kutokomea kuzimu huwa hakuna namna, japo sijui ni lini na wapi, ila nina uhakika 100% kuwa litakufika tu.
Wewe unayeshabikia udhalimu Na wizi Na uuwaji halitakufika endelea tu kushabikia au vipi ?
 
Mama yako yuko kuzimu mkuu!! Pole sana mbw mkubwa!!

Matusi yako hayawezi kulirudisha jambazi lako ,ushauri wa Bure ,ili kupunguza hasira tafuta dawa ya panya unywe ulifuate kuzimu jambazi ulipendalo
 
Achana na hao wauza madawa mkuu walidhibitiwa sana wakati wa Magu ndio maana hawataki kusikia mazuri yake lakini hawawezi watz wanajua sana tu mazuri ya Rais Magufuli na aliwanyoosha kweli kweli.

Si ulifuate kuzimu
 
Asiyekuwepo na lake halipo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…