Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa raisi kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lkn wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo?
I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja la mto Malagarasi, barabara ya B’moyo - Msata ambayo inatumiwa sana na watu wa Kilimanjaro na Tanga kutokea Dar that’s just about it.
Lakini yaliyobakia yote ni Mzigo wa Magu kwa nini hawataki kukubali? Hata tu Barabara ya Moroko - Mwenge wanasema ni Japani na siyo Magu, wanakwenda mbali hata kusema flyovers ni za Awamu ya 4 na siyo Magu, kwa nini ? Kuna kuna tatizo gani mzigo aliopiga Magu ukaachwa na kukubalika? Hakuna anayepinga UDOM ni ya Awamu 4 ?
Give credits where it’s due …
Usishangae sana! Tangu lini wahuni wakawa upright members of the society?