Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
China japo hawajaweza asilimia 100 ila wamejitahidi kwa nn tusiwaige wachina tukafanya kwa namna yetuNakusahihisha mkuu usiseme ni tatizo la Tanzania Bali lipo duniani kote fairness utaikuta mbinguni pekee duniani wajanja wengi akikuzidi wa juu yako jua Kuna wa chini yako umemzidi
Kwahio we kwa akili yako unajua zaman hakukua na madaktar?Kwani bila madaktari hakuna afya inayoeleweka, tukiumwa tunakufa tu..tangu zamani watu walikua wanajifunguaje tangu enzi na enzi mpaka ukazaliwa wewe leo na kupata muda wa kutype hapa jf?
Shida watu wa afya mnajipaga umuhimu mkubwa sana, yaani mnajikutaga wadogo zake Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1-Form four ni njia za panya?Umepita njia zako za panya umefel form four umepambana na madiploma huko sjui ulianza na certificate saiz unaongea ujinga hapa hiyo bachelor yenyewe sijui uko mwaka wa kwanza!!!ata avielewek alf unabishana hapa watu wanakukumbuka unajichoreshq tu hapa angalau mm watu awanifahamu ila ww tunakujua uliomba msaada humu ukiwa ujui chochote kuhusu bachelor.
😁😁😁😁Jitoe akil hivyohivyo
Sisi tuna mabumunda mengi sana nchii watu wanaiba wanafanya wenzao amnazoChina japo hawajaweza asilimia 100 ila wamejitahidi kwa nn tusiwaige wachina tukafanya kwa namna yetu
😁😁😁Umepita njia zako za panya umefel form four umepambana na madiploma huko sjui ulianza na certificate saiz unaongea ujinga hapa hiyo bachelor yenyewe sijui uko mwaka wa kwanza!!!ata avielewek alf unabishana hapa watu wanakukumbuka unajichoreshq tu hapa angalau mm watu awanifahamu ila ww tunakujua uliomba msaada humu ukiwa ujui chochote kuhusu bachelor.
Akil yake ndo ilivyomtuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na pia akil yake imemtuma kuwa daktar hana umuhimu sana kama mlinzi wa bandarin.Kwahio we kwa akili yako unajua zaman hakukua na madaktar?
Au daktari mpaka umuone na stethoscope?
Hii sio mada niliowasilisha hapa,hili ni lako ww kwahyo ww ndo unatapatapa hapa kama una lolote kuhusu uwiano wa mishahara sema kama auna jipya kausha unajichoresha tu hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
Umeshaishiwa braza, naona unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa.
Kwani daktari ni nani?Kwahio we kwa akili yako unajua zaman hakukua na madaktar?
Au daktari mpaka umuone na stethoscope?
Hiyo ni opinion zako na unajaribu kunilisha maneno😁😁Akil yake ndo ilivyomtuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na pia akil yake imemtuma kuwa daktar hana umuhimu sana kama mlinzi wa bandarin.
Sasa nani aliyeanza kuhamisha goli baada ya kuishiwa kati yangu na wewe, ujinga ni mzigo mzito😁😁😁Hii sio mada niliowasilisha hapa,hili ni lako ww kwahyo ww ndo unatapatapa hapa kama una lolote kuhusu uwiano wa mishahara sema kama auna jipya kausha unajichoresha tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kuwa umemtaja mwalimu acha nikuitie mwanaharakati wa mchongo ndungu Mpwayungu Village
Kumbe walimu awajielewi,angalau ww umejibu vizur sasa hii ndo sababu wanalipwa pesa kudunchu kwamba awajielewi vip kuhusu madaktari nao awajielew?Unataka mwalimu apate bei gn kati hawajielew, tunawapandishia mishahara wanaojielewa tuu
Naona ndio unakumbuka kurudi kwenye mada baada ya kuona unapoteana?!Hii sio mada niliowasilisha hapa,hili ni lako ww kwahyo ww ndo unatapatapa hapa kama una lolote kuhusu uwiano wa mishahara sema kama auna jipya kausha unajichoresha tu hapa
Mada ni moja tu hapa.Naona ndio unakumbuka kurudi kwenye mada baada ya kuona unapoteana?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we jamaa ni kituko sana.Rudi kasome comment za post yako ya kuomba muongozo usiniulize mm sikukutuma uje kuomba mwongozo humu na nisingekukumbuka ww ungenisumbua sana
Nani akili zimerudi sasa.Mada ni moja tu hapa.
Mi ni mwanamke sio jamaa aiseeIla we jamaa ni kituko sana.
Si useme nilitia huruma kwenye nini?
Kumbe unakiri nakusumbua sana, mpaka unatafuta kichaka cha kujifichia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mama, nisamehe bure nimekosea kukupa dozi kubwa kuliko uwezo wako.Mi ni mwanamke sio jamaa aisee