Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani??
(2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni suala lenye ulazima kitaalam au ni utashi tu wa makampuni ya simu??
(3) Kwanini codes za kuangalia Salio (102#) pamoja na kujaza Salio (*104) zinafanana kwa mitandao yote lakini codes za Mobile Money (Tigo Yas Pesa, M-PESA, HALO PESA, AIRTEL MONEY) zinatofautiana?? (*150*01# *150*00#)
(4) Je, hizi tetesi ya kuwa siku hizi mnara mmoja wa simu unatumiwa na service provider zaidi ya mmoja (Yaani Tigo Yas, Vodacom, Airtel, Halotel) zina ukweli wowote ule ndani yake??
(5) Kwanini mtu asiwe na number yake permanently yaani 527774 katika mitandao yote?? Yaani mtu akienda Vodacom, Airtel au Tigo Yas, anaambiwa kuwa hiyo number ni ya Alex Muuza Maembe hatuwezi kukupa.
WATAALAM NA TELECOMMUNICATIONS PAMOJA NA ICT PLEASE TUNAOMBA UFAFANUZI WENU NDUGU ZANGU.
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe.