1. Namba 6 zinaweza kutoa kutoa namba milioni tofauti. Kwahyo, mf tigo 0717-XXXXXX inachukua jumla wateja milioni, tigo ina zaidi ya wateja hao.
2. Ni standard ya kimataifa kwa ajili ya Ku-regulate rasilimali za mawasiliano ambayo ni lazima ku-comply. Ila kitaalamu inawezekana kabisa na pengine huko baadae wataongeza wakiona zimejaa
3. Sina uhakika, ila uelewa wangu, hizo codes za pesa hazifungamani na mtandao, ndy maana NMB, CRDB nk wanaweza kutia huduma zao kupitia operators via hzo USSD. Nadhani, ilitakiwa mf hata kama unatumia tigo, uweze kuAcceas Mpesa. Ila mfn ussd ya *102# ni standard specifically kuangalia salio kwa mitandao ya simu, imewekwa na TCRA. maswala ya Security, branding yanaingia pia.
4. Ni kweli, operator mfano, tigo anaweza kukodi nafasi kwny mnara wa ttcl. Mfani kila operator akitaka kuweka mnara eneo fulani itakuwa vurugu, na economically haijakaa sawa pia kwao