Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Wacha kwanza ifike ndo tutajua namna ya kufanyaIkifika T999ZZZ itakuwaje sasa mkuu??..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kwanza ifike ndo tutajua namna ya kufanyaIkifika T999ZZZ itakuwaje sasa mkuu??..
Haahahaaa poa mkuu..Wacha kwanza ifike ndo tutajua namna ya kufanya
Trick knowlogy hainaga busara mzee, busara tumia kwenye ku bargain kuuza maembe( i like joking sometimes 🫣🫣🫣)Mkuu, kwa hiyo it's all about the rules and not individual whim/discretion??..
Tunaanza tena A maana wa A watakua walishakufu na kuzikwa miaka 500 iliyopitaIkifika T999ZZZ itakuwaje sasa mkuu??
Google "Messier 31"Avatar yako inanitisha sana mkuu..
Alafu mkuu, sio mpaka ifike ZZZ. Ikishaingia tu ZAA watu wanapaswa kuanza kukuna na kuumiza vichwa ila wabongo kama kawaida yao, watasubiri mpaka plate number ya mwisho ndio wataanza kujiuliza "hapa tunafanyaje sasa"Wacha kwanza ifike ndo tutajua namna ya kufanya
Duuh, mbona hatari sana hii mkuu??..Google "Messier 31"
Hiyo avatar ni viumbe wanaopatikana kwenye moja ya sayari humo
2029 tutakuwa tumefika T999ZZZZTunaanza tena A maana wa A watakua walishakufu na kuzikwa miaka 500 iliyopita
Not true...sasa hivi namba ilienda haraka maana imekua rahisi kwa mid income people kununua magari and so on wakiisha wao kununua demand itashuka na haitatokea maskini kuanza kununua magari kwa Tanzania labda tulipwe yale mamilion ya Acacia2029 tutakuwa tumefika T999ZZZZ
Asante sana kwa kunisahihisha mkuu. Please stay blessed forever. Nimejifunza kitu kimpya na cha maana sana..Nikusahihisha hii ngoma kwa voda na miaka ya 2000+
code ilikua inaanza hivi
voda 0744
mobitel 0713.
Trust me..Not true
Hahahaa poa mkuu..Trick knowlogy hainaga busara mzee, busara tumia kwenye ku bargain kuuza maembe( i like joking sometimes 🫣🫣🫣)
E...sasa hivi namba ilienda haraka maana imekua rahisi kwa mid income people kununua magari kwa sababu ya easy access ya mikopo..hapa nazungumzia walimu,manesi,polisi na entry level jobs kwenye corporates hawa ni watu waliokua wakijikaza sana wananua pikipiki ila sasa majority ndo wanapush Vi IST, vitz na swift.... wakiisha wao kununua demand itashuka na haitatokea maskini kuanza kununua magari kwa Tanzania labda tulipwe yale mamilion ya AcaciaTrust me..
Sawa mkuu..E...sasa hivi namba ilienda haraka maana imekua rahisi kwa mid income people kununua magari kwa sababu ya easy access ya mikopo..hapa nazungumzia walimu,manesi,polisi na entry level jobs kwenye corporates hawa ni watu waliokua wakijikaza sana wananua pikipiki ila sasa majority ndo wanapush Vi IST, vitz na swift.... wakiisha wao kununua demand itashuka na haitatokea maskini kuanza kununua magari kwa Tanzania labda tulipwe yale mamilion ya Acacia
Kwenye hesabu za combinations, kuna faida kubwa sana ya kuongeza tarakimu moja ili ziwe 11 (au zaidi), kuliko kuanza na msimbo mpya (mfano 0654).Kuna mtu aliniambia kuwa Tigo Yas walihama kutoka 0717 mpaka kwenda 0654 kwa sababu digits zilijaa (0717999999) sasa ndio mimi nikamuuliza sasa kwanini wasiongezea tu idadi ya digits ili ile code yao iliyozoeleka na vichwa vya wengi yaani 0717 iendelee kubaki vile vile kuliko kuja na code mpya 0654 ambayo makampuni mengi yakifanya hivyo watu watachanganya na kushindwa kujua kama hii ni Tigo Yas, AIRTEL au Vodacom..
Umefafanua vema sana mkuu. Congrats..Kwenye hesabu za combinations, kuna faida kubwa sana ya kuongeza tarakimu moja ili ziwe 11, kuliko kuanza na msimbo mpya (mfano 0654).
Idadi ya laini zinazosajiliwa kwenye msimbo mmoja ni ndogo sana kuliko zile zipatikanazo kwa kuongeza tarakimu moja zaidi.
Kama tarakimu zikiwa 11 (kama unavyopendekeza), idadi ya laini zitakuwa milioni 9 (9,000,000).
Kama wakitumia msimbo mwingine mpya (mfano 0654, kama wafanyavyo sasa), idadi ya laini zitakuwa milioni 2 (2,000,000).
NB: Kama mtandao fulani utaamua kutumia tarakimu 8 tu (mbali na ule mwimbo wa mwanzo kama 0717), basi utaweza kusajili idadi ya laini milioni 100 (100,000,000)!!!
Mfano:
(0717) 154 631 28
Njia nyingine rahisi ni kuondoa idadi ya tarakimu kwenye msimbo, badala ya 4 basi zibaki 2 tu.
Mfano:
(07) 154 631 28 (kwa Yas)
(08) 154 631 28 (kwa Airtel)
(09) 154 631 28 (TTCL)
(05) 154 631 28 (Vodacom)
(04) 154 631 28 (Halotel)
Kila mmoja hapo anaweza kuwasajili wateja milioni 100!!!
Okay..Protocol hizo
Me I have. Special number 2553000 34569845Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani??
(2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni suala lenye ulazima kitaalam au ni utashi tu wa makampuni ya simu??
(3) Kwanini codes za kuangalia Salio (102#) pamoja na kujaza Salio (*104) zinafanana kwa mitandao yote lakini codes za Mobile Money (Tigo Yas Pesa, M-PESA, HALO PESA, AIRTEL MONEY) zinatofautiana?? (*150*01# *150*00#)
(4) Je, hizi tetesi ya kuwa siku hizi mnara mmoja wa simu unatumiwa na service provider zaidi ya mmoja (Yaani Tigo Yas, Vodacom, Airtel, Halotel) zina ukweli wowote ule ndani yake??
(5) Kwanini mtu asiwe na number yake permanently yaani 527774 katika mitandao yote?? Yaani mtu akienda Vodacom, Airtel au Tigo Yas, anaambiwa kuwa hiyo number ni ya Alex Muuza Maembe hatuwezi kukupa.
WATAALAM NA TELECOMMUNICATIONS PAMOJA NA ICT PLEASE TUNAOMBA UFAFANUZI WENU NDUGU ZANGU.
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe.