Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mhenga, ilikuwa kama sio 2002 hiyo.Mimi code yangu ilibadilishwa toka 0741 enzi za mobitel hadi 0713 sasa.
NiceUtateseka Bure mkuu usipoelewa hivi vitu vya msingi.
Huwezi kuwa na namba ya simu inayotumia carriers tofauti kwasabu hizi.
Duniani nchi yeyote Ile imepewa MCC yaani mobile country code kama ilivyo TZ +255, Kila nnchi ina yake ambazo ni namba Tatu za mwanzo.
MNC au MNO (Mobile network code au mobile network operator) hii sasa ndio inayotofautisha mtandao na mtandao, ndomana halotel utamkuta Wana 617, 623 n.k voda 750, 745, 760 n.k hizo namba Tatu ukiexclude sifuri ndio MNO zinatambulisha mtandao unaotumia. Kwahiyo tukisema namba Yako ya voda iwe inapatikana kama tigo au halotel inakuwa haiwezekani na ipo nnje ya mfumo.
MSIN (mobile subscription identification number) hizi ndio namba Tisa au kumi zinazokutambulisha wewe kama mtumiaji wa mtandao Fulani, na hizi umuhimu wake unakuja kwenye mambo mengi pamoja na wakati simu Yako inafanya roaming.
Ni kama vile mastaer card kwenye bank nyingine.Kutumia mnara mmoja ni kusave gharama...simply tu
Na sasa mix by yas Wana 0710,0718Nikusahihisha hii ngoma kwa voda na miaka ya 2000+
code ilikua inaanza hivi
voda 0744
mobitel 0713.
kimsingi tigo walianza series ya 0719-0710 kisha wakahamia kwenye 0659-0652 na sasa wana 0678-0672 ambayo kwangu ndio series ngumu kuliko zote. Wameadopt 0772-0779 toka uliokuwa mtandao wa ZantelKuna mtu aliniambia kuwa Tigo Yas walihama kutoka 0717 mpaka kwenda 0654 kwa sababu digits zilijaa (0717999999) sasa ndio mimi nikamuuliza sasa kwanini wasiongezea tu idadi ya digits ili ile code yao iliyozoeleka na vichwa vya wengi yaani 0717 iendelee kubaki vile vile kuliko kuja na code mpya 0654 ambayo makampuni mengi yakifanya hivyo watu watachanganya na kushindwa kujua kama hii ni Tigo Yas, AIRTEL au Vodacom..
Ikifika T999ZZZ itakuwaje sasa mkuu??..
Na 0658Na sasa mix by yas Wana 0710,0718
Voda wana 0798 sasa hivi nadhani hata mwezi hajamaliza. Hii code ilitumiwa na mtandao wa SMART lets talk.Mpaka sasa makampuni makubwa ya simu yana code hizi
Vodacom 0741-0749, 0751-0759, 0761-0769
Airtel 0781-0789, 0681-0689, 0691-0699
Tigo(Yas)m 0710-0719, 0651-0659, 0671-0679
Halotel 0720-0629, 0611-0619
TTCL 0731-0739